wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wetu mbona hamfungi Ndoa za umri mdogo kama zamani mfano Rais wa Kenya Ruto na Mkewe Recho?

    Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo. Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
  2. Matendo Andrew

    JamiiForums Tanzania Mambo mengi ya Serikali yetu yanafeli kwasababu ya wanaoyaendesha ni wasomi

    Ukifuatilia wenye mafanikio makubwa Sana hapa nchini ni watu wa kawaida Sana kielimu. Hii unamaanisha kwamba tangu siku walipogundua kwamba hawana elimu kubwa waliamua kujisemea moyoni kwana natakiwa kua na vitu vikuu vitatu: UWAJIBIKAJI UAMINIFU NIDHAMU YA FEDHA Haya ndio Mambo tunayo wazidi...
  3. Patriot

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

    Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali. Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
  4. Mnyakyusa5000

    JamiiForums Tanzania SoC02 Acheni kutusimanga sisi wasomi wa Tanzania

    Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu. Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

    UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu.. Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

    Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani. Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
  7. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Wasomi: Hii ina maana gani!

    Nimeona nikasema niwashirikishe labda inaweza kuwa fursa..
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

    FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule. Ndivyo dunia ya kibepari ilivyo sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Siasa mbovu za Tanzania zimewaacha vijana wasomi wamepauka

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Tanzania tuna siasa mbovu ambazo kimsingi zimechangia kuua ndoto za vijana wengi wenye fani na taaluma mbalimbali ambazo wamezihangaikia tangu wakiwa wadogo mpaka wanakuwa watu wazima. Siasa kwetu sio taaluma bali ni ajira ambayo walafi wa madaraka ( power...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Serikali na wasomi wa nchi hii mnafanya nini? Je! Ni halali tuwaite wasomi uchwara?

    Kama kweli ikiiwa tunataka nchi yetu Ipige hatua, ni vyema kila changamoto inayojitokeza, tuione kama fursa ya kutufikisha pahala! JPM ingawa hatumpendi, lakini wakati wa Covd 19, yeye aliona kuwa ni fursa, wakati mataifa mengine wakijilockdawon, yeye alihimiza wananchi kuchapa kazi, na mwisho...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao

    Huu ni ushauri: Napendekeza Wizara ya ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao. Serikali isitishe kuteua mawaziri watafuta ajira katika hii wizara nyeti. Wanakosa ubunifu kwasababu wanakua hawana uzoefu wala ujuzi unaoweza kusaidia kuwapa uelekeo watanzania...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuajiri wasomi Tanzania?

    Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari. Upo wakati watanzania walilalamika majeshi yanapotoa nafasi za KAZI Kwa wahitimu wa kidato Cha nne ambao walifauli Kwa wastani mdogo. Hata Wananchi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa elimu hauwezi kuboreshwa na wasomi waliotokana na mfumo wenyewe

    Mfumo mbovu wa elimu unatoa wataalamu wabovu na ni vigumu kuchukua wataalamu hawa wabovu wakuboreshee mfumo wenyewe wa elimu uliowatengeneza. Wataishia kuhamisha hiki kule na kurudisha hiki huku lakini mwisho wa siku mtabaki palepale mkiwa na elimu ileile ila mpangilio tofauti. Elimu ni maarifa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanavyosindwa kumwelewa "prof" Kishimba kuhusu elimu

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Kishimba na nimegundua mzee huyu anaongea mambo makubwa sana ambayo vyuo vyenye wataalamu wenye uelewa wangemtunuku mbunge huyu mwenye elimu ya darasa la saba uprofesa. Mzee Kishimba anasema tuweke malengo ili elimu yetu iwe hivi mtoto akimaliza kidato cha...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia idadi ya watu tulio na shahada ya kwanza hatuzidi Milioni 2. Kumbe wasomi bado tupo wachache sana

    Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana. Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+ Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake. Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Wasomi wanaogopa kukosoa Serikali ili wapate teuzi. Hawana msaada tena kwa jamii ya Watanzania

    Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wasomi wafanye utafiti wa madhara ya kutopandishwa mishahara kwa wafanyakazi, lobbyist wanaweza kutusaidia

    Ili mfanya kazi afanye kazi inayoleta matunda anahitaji kula vizuri, kuwa na afya njema, alale vizuri na pia afya yake ya akili iwe njema. Kwa wengi laki tatu mshahara wa kima echo chini tunafahamu una changamoto hasa kuishi mijini ambako unalipia kodi ya nyumba, unahitaji usafiri wa...
  18. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa vyuo siku hizi hamna kitu, wanafuata mkumbo tu

    Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana. Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli anachukiwa na CCM, Chadema, ACT, CUF na wasomi wengi ila anapendwa na wanyonge?

    Lipo wazi CCM wengi hawampendi Magufuli, ila wanajitahidi kutomshambulia moja kwa moja sababu alikuwa kiongozi wao waliomuunga mkono alipokuwa kiongozi, CHADEMA ndiyo hawampendi kabisa, ACT ndiyo kabisaa. Wasomi wengi pia hawamkubali Magufuli, ukiwauliza tu ukiwa nao wengi wanamponda, baadhi...
  20. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa SUA wanalisaidia nini Taifa?

    Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa...
Back
Top Bottom