Ujinga wa Watanzania wengi wanajifanya Wasomi

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Jan 25, 2023
140
188
Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa,

Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake kitu chake cha ziada mbali ya kujifunza mambo fulani.

Huwezi kuelewa au kupata maarifa kama ukijifanya kila kitu unajua. Tatizo la Watanzania ni kujifanya wote wamesoma mambo fulani wanayaelewa wakati mpaka sasa sisi ni (Watumwa Huru) ila utasikia mtu anajisifia me niko na Elimu...hiyo Elimu umepewa ili ujitambue na ukomboe jamii.

Elimu uliyonayo sio ya kugongea mademu, kunywea pombe n.k Elimu uliyonayo umepewa ili ukaikomboe jamii wala sio Majivuno ambayo ukonayo.

WAZAZI KAMA NI JEURI SIDHANI KAMA MTOTO ANAWEZA KUWA NA MAADILI MEMA.

Binadamu tunategemeana kwahiyo kuwa makini sana na unachokimiliki ishi na watu safi, siku unaumwa hiyo gari yako unaweza kuiona jeneza.

● KUNA BINADAMU HAWA WANASEMA ACHA KIFUATILIA MAISHA YA WATU... niulize kitu hapa Duniani na nani anaweza akapewa msitu mmoja yeye pekee ake na mali zake bila watu akaweza kuishi mwenyewe na akatoboa miaka 10 .

📌 KUNA BINADAMU WANAKERA ILA SIWEZI KUACHA KUONGEA NA KUKEMEA MAANA WENGI WETU NAONA MAADILI WAMEYAKOSA KIPINDI WA DOGO.
ndo maana tuko na Viongozi wa ajabu pamoja na vijana wa ajabu wanaomini kwa vitu vya mzungu.

Mwanamke....... anaamini tako lake ndo Mtaji wake na Mwanaume wasasa baadhi anaamini bila kupambana na Mwanamke hawezi kutoboa au? Kuongwa na sugar Momy.
..... Inatosha....
 
Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa,

Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake kitu chake cha ziada mbali ya kujifunza mambo fulani.

Huwezi kuelewa au kupata maarifa kama ukijifanya kila kitu unajua. Tatizo la Watanzania ni kujifanya wote wamesoma mambo fulani wanayaelewa wakati mpaka sasa sisi ni (Watumwa Huru) ila utasikia mtu anajisifia me niko na Elimu...hiyo Elimu umepewa ili ujitambue na ukomboe jamii.

Elimu uliyonayo sio ya kugongea mademu, kunywea pombe n.k Elimu uliyonayo umepewa ili ukaikomboe jamii wala sio Majivuno ambayo ukonayo.

WAZAZI KAMA NI JEURI SIDHANI KAMA MTOTO ANAWEZA KUWA NA MAADILI MEMA.

Binadamu tunategemeana kwahiyo kuwa makini sana na unachokimiliki ishi na watu safi, siku unaumwa hiyo gari yako unaweza kuiona jeneza.

● KUNA BINADAMU HAWA WANASEMA ACHA KIFUATILIA MAISHA YA WATU... niulize kitu hapa Duniani na nani anaweza akapewa msitu mmoja yeye pekee ake na mali zake bila watu akaweza kuishi mwenyewe na akatoboa miaka 10 .

KUNA BINADAMU WANAKERA ILA SIWEZI KUACHA KUONGEA NA KUKEMEA MAANA WENGI WETU NAONA MAADILI WAMEYAKOSA KIPINDI WA DOGO.

Wahaya watu wa hovyo sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si usomi tu bali pia Wabongo ni;

* Wachambuzi mahiri wa mpira.

* Matajiri.

* Wafanyabiashara wabobevu.

* Washauri wakuu wa ndoa.

* Watalii wakubwa kwa kila nchi.

* Majasusi na mahodari wazuri wa vita ya Ukraine vs Russia.

* Wanasayansi bora wa NASA, geology, mechanics engineering.

* Wajuaji wazuri wa dini halali baina ya Ukristo na Uislamu huku wakibeza dini za Buddhism Paganism Rastafarians na Hinduism.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom