wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujiulize uchawi, ramli na mazindiko vina nafasi gani kwenye siass za Tanzania? Je wasomi hawaamini taaluma zao?

    Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa. Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
  2. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

    1. Sheria ya ndoa inamtwika mwanaume Jukumu lote la ustawi wa uchumi wa familia. Mwanamke akifanya kazi yenye mshahara mkubwa na akagoma kuhudumia familia, Sheria inamlinda. Kwahiyo hakuna haja ya kuoa mwanamke msomi ambaye usomi wake na mshahara wake hauna matokeo yanayopimika katika ndoa. 2...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

    Wakuu Habari zenu? Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese. Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea wananchi masikini. Lakini badala yake wananchi wakakimbia, wakawaachia msala wasomi wa vyuo vikuu...
  4. system hacker

    JamiiForums Tanzania Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini huko Ughaibuni kama Marekani na Uingereza wasomi (Maprofesa na Madaktari) hawashoboki na siasa?

    Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tusiwahukuhu sana wanawake wasomi na ambao wapo vizuri kiuchumi

    Hii issues kuna binti mmoja kichwa na yupo vizuri sana nilisoma nae katukimbiza sana skonga kipindi hiko cha nyuma mara nyingi tunapigaga sana story kwenye simu. Msimu wa sikukuu tulikutana tu ile ghafla White Sand, mimi nilikuwa na kikao cha familia, tulivyo maliza nikakaa nae na kuanza kupiga...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  9. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  10. Double line

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yale niliyosema kuhusu kijana wa hovyo Majaliwa aliyeidanganya nchi na wasomi wake

    INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭 WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA. Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nashauri wasomi waache kuongoza, nchi wapewe watu kama Musukuma au Lusinde tusonge mbele

    Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha...
  12. F

    JamiiForums Tanzania UDSM kuteseka na mgao wa maji ni aibu kwa Maprofesa na wasomi waliojaa UDSM

    Habari wadau Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
  13. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Tanzania vinazalisha zaidi wahuni kuliko hata wasomi

    Tafsiri nyepesi ya chuo kikuu ni sehemu inayotoa elimu huru. mwanafunzi anakuwa huru katika masomo yake na usimamizi wake binafsi. Yaani hapa mwanafunzi anaenda kusoma pasi na usimamizi mkubwa kutoka kwa walimu wake. Lakini kwa nchi yetu hii elimu ya vyuo vikuu naona kama haipo sawa na...
  14. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Tataizo la jeshi letu siasa zimekuwa nyingi na pia wanaenda wasomi waliofaulu vizuri ambapo wanasaka vyeo tu

    Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi. Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake. Imagine mtu ana div one tena PCB...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Wakati wasomi walipokuwa waadilifu

  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasomi wetu, kuwa na akili bila udadisi ni sawa na kutokwenda shule kabisa

    Akili ya binadamu ni utajiri wenye nguvu zaidi kuliko tunavyoongozwa kuamini katika elimu rasmi ya kitaaluma tunapokuwa shuleni au chuoni. Nachukia sana watu wanapochanganya akili na elimu. Unaweza kuwa na shahada na bado ukawa mjinga kwa kuamini unajua kila kitu! Elimu inakuwa na manufaa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

    Tatizo la Law School si dogo ambalo ati kila Tom, Dick au Harry anaweza kuwa na ufumbuzi au ushauri. Kwa sampuli hii: 1. Profesa Cyriacus Binamungu (Mzumbe): anasema kuna shida kwa walimu katika taasisi hiyo (LST). “Wanafunzi wanaandaliwa vizuri (vyuoni) isipokuwa kutakuwa na shida LST...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
  19. OHA

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wa Tanzania

    Kuna haja kubwa ya kutaka kufanya uchunguzi ili kubaini katika elimu ya vijana wanayo pata hapa nchini inawasaidia kitu gani? Kwakuwa swala la katiba ni swala ambalo vijana kama vijana wangekuwa na ari kubwa kulipigania ili kukomboa nchi na kujenga katiba isiyo na ubagudhi kwa mustakabali wa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
Back
Top Bottom