Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,741
17,993
1. Sheria ya ndoa inamtwika mwanaume Jukumu lote la ustawi wa uchumi wa familia. Mwanamke akifanya kazi yenye mshahara mkubwa na akagoma kuhudumia familia, Sheria inamlinda. Kwahiyo hakuna haja ya kuoa mwanamke msomi ambaye usomi wake na mshahara wake hauna matokeo yanayopimika katika ndoa.

2. Wanawake wasomi Ni feminists. Feminists Ni watu waliokubalianana na azimio la Beijing la mwaka 1995, lililobatilisha juhudi za ujumuishaji wa Kijinsia( gender equity) na kusimika rasmi kampeni za usawa wa Kijinsia (gender equality). Kampeni zilizolenga kumuinua Mtoto wa kike katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kijamii huku Mtoto wa kiume akidunishwa na baadaye kusahaulika.

3. Kutokana na ideology ya feminism, wanawake wamepoteza characters zao. Kila kitu Ni kushindana na kubishana na wanaume wakidha wapo sawa kwa vile walivyoaminishwa.

4. Wanawake wasomi kuanza uasherati mapema. Yaani katoto ka miaka 20 kamemaliza Chuo Kikuu. kana ex boyfriend zaidi ya 70 na keshatoa mimba 3. Akija mwanaume wa 71, uboo wake unafanyiwa comparison na zile 70, hapo ndipo huzaliwa hashtag ya #kibamia.

Sababu Ni nyingi lakini kwa Leo niishie hapo
 
Sababu ya 4 umeitoa kwa hasira sana, sidhani kama mwanamke msomi ndio muasherati....

Gender Equality imekua mkombozi mkubwa kwa Mwanamke na Mtoto wa Kike ukilinganisha na karne za nyuma ambazo zilikua zinamdharau Mwanamke na kumuweka daraja la chini kabisa...

Si kweli kua Mwanamke msomi haolewi ila ni vijana ambao wana inferiority Complex na Insecurity walioathiriwa na mfumo dume katika familia na jamii zao ndio hawawezi kuwaoa Wanawake wasomi.
 
Back
Top Bottom