wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba vitabu Kama "Rich dady poor dady " vifundishwe mashuleni ili Kupata wasomi smart .

    Ili kuiokoa Elimu yetu vitabu vinavyomjenga Mtu Kama kitabu Cha 50 cent hustler harder hustler smater vifundishwe mashuleni kwa ngazi zote Bila kusahu kitabu Cha Ricu "dady poor dady"
  2. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania na wasomi wake wapi tunatamani kufika?

    Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu. Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

    Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...
  4. Wichoka Son

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
  5. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mikataba yote iliyovunjwa na kuingiwa makubaliano mapya na JPM, wawekezaji wataendelea kulipwa kwa sababu ni wakati wa ulaji kwa wanasheria wa serikal

    Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya! Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hongera Sana TCU kwa Kuanzisha mfumo wa Paper writing

    Huyu Prof aliyegundua mfumo wa Paper writing kwa hawa post graduate alifanya Jambo moja zuri na msaada sana kwenye kuwajengea uwezo wasomi wetu wa kulinganisha hoja (speech with references) Huwa naumia sana ninapoona Hawa wasomi wa miaka ya nyuma kidogo wanapoita press harafu wanakuwa hawana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasomi vijana wasio na kazi

    Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35. 1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania 2. Fanya mtihani wa lugha ya German German inatoa viza za kazi kwa wasomi . Fuatilia badala ya kupoteza muda na kutegemea watu wakuletee information zote...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wasomi wenye kufahamu Uchumi wa buluu maana,faida na hasara zake Tafadhali?

    Ninaomba mawazo yenu hili neno ninaona litakuja kufanana na KILIMO KWANZA AWAMU YA NNE.
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho ya mitaala katika kuzalisha wasomi wenye tija kwa taifa

    Mtaala ni mpango wa masomo ambao hutumiwa na shule au mfumo wa elimu kuamua ni nini cha kufundishwa na jinsi ya kufundisha. Tanzania inatumia Mtaala wa Elimu ya Msingi na Mtaala wa Elimu ya Sekondari, ambayo huwa na malengo ya kufundisha wanafunzi ujuzi, mawazo na maadili wanayohitaji kukua na...
  10. African Geek

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tulipokuwa tukiwacheka watoto wa mitaani, hatukujua kuwa tutakuja kuwa wasomi wa mitaani

    Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji mikubwa ilipoanza kupata tatizo la kuongezeka kwa watoto wa Mitaani? Unayakumbuka majina mabaya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha watu wakalima; wamekatazwa kuuza mahindi yao nje ya nchi

    Wanasiasa wakitaka kununua V8 hakuna anayewakataza; wakitaka kuuza rasilimali hakuna anayewakataza. Ila wananchi wakitaka kufanya biashara kupata kipato Ndipo sheria uibuliwa na vizuizi kibao. Nchi yenye viongozi wakudhibiti ustawi wa wazawa na kustawisha wageni inajianda KUTAWALIWA. Kila...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Wasomi waliopo bungeni toeni hoja tuondokane na hoja za wahuni na wasema ovyo

    Inasikitisha kuona wasomi waliopo bungeni kukaa kimya na badala yake wanao-trend ni walioishia darasa la saba. Tukikubali kuzoea na kuaminishwa na huu utaratibu wa wanaojiita darasa la saba kujionesha kuwa ndio wenye points za kutetea jamii basi ni wazi taifa letu litapoteza muelekeo. Wabunge...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Malawi waandika Kitabu kumhusu Magufuli

    Wasomi na viongozi wa Tanzania wakati wao wakichagua kukaa kimya juu ya mambo mengi mazuri ya Pombe Magufuli yanayohusu uongozi wake, wakati wao wakiruhusu watu wajinga kuendelea kuuchafua uongozi wake, wasomi wa nchi Jirani ya Malawi, wao wameonyesha kwamba, wasomi wa Tanzania ni watu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kichwa hiki kinasema: Inavyoonekana wasomi viongozi wa nchi za magharibi wamesahau ni nani aliyeushinda utawala wa unazi kwenye vita kuu ya pili

    Western elites have forgotten the consequences of the Nazis’ “insane ambitions,” Russian President Vladimir Putin said during his Victory Day Parade speech on Red Square in Moscow. “The globalist elites keep insisting on their exceptionalism; they pit people against each other, split societies...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi

    Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara. Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni tatizo la wasomi walio wengi

    Reading without reflection is like eating without digestion. Wanaojiita wasomi wengi ni tatizo, nilimaliza DUCE mwaka 2016 nikaanza kutembea na cheti kudhalilika kuomba kazi, nikalaumu sana serikali kwa kusitisha ajira, kimsingi mikaa nikajiuliza hivi kweli kila atakae hitimu kwa wingi huu wa...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
Back
Top Bottom