wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  2. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  3. MtuHabari

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Mwinyi, Rais Samia Uko Wapi?

    Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo. Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA. Serikali ya Mapinduzi imetangaza bila chenga kupandisha viwango vya pension kwa 100% lakini huku kwetu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua machine za kuchakata plastics?

    Habari wadau, Natafuta machine za kuchakata plastics kuwa flakes naweza kuzipata wapi kwa Kariakoo? Pet bottle flakes ceushing machine. Pet bottle label remover. Pet bottle neck ring remover. Pet bottle washing machine. Pet bottle dry machine. Pet bottle flakes compressor
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Serikali Iko wapi mwalimu ananyanyaswa na kudhalilishwa Wilaya ya Kilindi Tanga?

    PART 1. MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU. MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE? MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI. Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?, mnatuchuliaje WALIMU...
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

    TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
  8. jastertz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yu wapi baada ya kusomwa ripoti ya CAG?

    Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
  10. Cetshwayo Kampande

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za mulch?

    Salute, Wakuu wapi nitapata mbegu za mulch,kwanza sijui mulch ni mizizi ya Nini,au ni mboga za majani au ni Miche ya matunda gani. Kuna mzungu kaniambia anaitaji kununua ,nimtafutie kwa wingi,ziwe dar . Zimenipa ushamba kujua ni kitu gani.anayezijua msaada tutani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

    Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa? hivi hamkumbuki stori za ngoma, mwanao anapiga kesho...
  12. Okrap

    JamiiForums Tanzania Ulisikia wapi?

    Wanawake 7 kwa Mwanaume 1 - Wapi na wapi? Kuna Wakristo wanaoshambulia takwimu ambazo hazithibitishi uelewa wao mbovu wa Isaya 4:1. Kuna watu ambao hushambulia data na masomo ambayo hayaambatani na mtazamo wao wa ulimwengu uliopotoka. Nabii Isaya aliandika..... Isaya 4:1 "Siku hiyo wanawake...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

    Hello family, Ushishangae ya Musa wakati ya Filauni yapo, nilishikwa na butwaa mwaka 2015-2017 nilivoona lundo la mbilikimo California na Michigan huko Marekani, Nilijiuliza sana huu ni uzao wa batwa wa Zaire au ni cross breeds za maabara. Marekani kuna andunje sikuamini Ila ndio hivo wapo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa zamani wa maji yakimwagika hayazoleki, nitaupata wapi?

    Moja ya mistari yake unaimbwa hivi, "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri"...kuna binadamu wa ajabu... Na huo wimbo Sio wimbo wa taarabu Mwenye kujua kuna la huo wimbo, ulikua popular Kwenye early 2000's
  15. B

    JamiiForums Tanzania Video ya wimbo huu Wa zamani unaoitwa "chezea mshahara, usichezee kazi" nitaipata wapi

    Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  17. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

    Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana. Mimi si mara ya kwanza kunyimwa unyumba kwa sababu...
  18. EBENEZER S MATHEW

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

    CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM. CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa. Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
Back
Top Bottom