Wapi nitapata mbegu za mulch?

Cetshwayo Kampande

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,013
2,278
Salute,
Wakuu wapi nitapata mbegu za mulch,kwanza sijui mulch ni mizizi ya Nini,au ni mboga za majani au ni Miche ya matunda gani.
Kuna mzungu kaniambia anaitaji kununua ,nimtafutie kwa wingi,ziwe dar .
Zimenipa ushamba kujua ni kitu gani.anayezijua msaada tutani
 
A mulch is a layer of something such as old leaves, small pieces of wood, or manure which you put on the soil round plants in order to protect them and help them to grow.

2. verb. To mulch plants means to put a mulch round them to protect them and help them to grow.

Sidhani Kama hizi mulch Zina mbegu. Ama Ni mulch gani anaulizia.
 
Ungetumia kibantu nahisi angekuelewa zaidi.
 
Mulching is the process of covering the upper surface of the soil for weed control and retaining the moisture that is available to the plant.

Mulch ninavyojua kwenye kilimo inakua ni matakataka ya majani, magome ya miti, na mabaki mengine ya mimea mfu ambayo huwekwa juu ya mmea mfano mti ili kuzuia magugu na kulinda maji yaliyo kwenye mmea.
 
A mulch is a layer of something such as old leaves, small pieces of wood, or manure which you put on the soil round plants in order to protect them and help them to grow.

2. verb. To mulch plants means to put a mulch round them to protect them and help them to grow.

Sidhani Kama hizi mulch Zina mbegu. Ama Ni mulch gani anaulizia.
Duh kwa hiyo ni Kama mbolea
 
Apa Sasa nimekuelewa mkuu,magome magome hayo wapi nitaweza kuyapata?Asante mkuu

Asante Sana mkuu,inazuia kumong'onyoka na kusaidia kujua kwa mmea,wapi nitazipata,nisipishane na ela
 
Apa Sasa nimekuelewa mkuu,magome magome hayo wapi nitaweza kuyapata?Asante mkuu
Tafuta sehemu yeyote kwenye kilimo, mfano nje ya mji maeneo ya kigamboni ndani ndani, vikindu mpaka mkuranga kule watu wakishapalilia ndo wanatoa hayo magugu wewe unaenda na gari yako unabeba.
 
Huyo mzungu anadeal na nini
Wakati nasoma form three ilikuwa ndiyo tunadeal na miti kila mwanafunzi wa form three lazima awe na miti mitano ya kuhudumia
Malch sijui kama ndiyo mulch hii
Ni majani makavu ambayo unaweka kuzunguka ule mti kwa lengo la kutunza unyevu unapaomwagilia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa sawa mkuu,apa nimepata mwanga,ngoja nimshtue,kumbe sio kitu ghali kusema inauzwa
 
Asante mkuu,lugha kumbe ni kitu common
Huyo mzungu anadeal na nini
Wakati nasoma form three ilikuwa ndiyo tunadeal na miti kila mwanafunzi wa form three lazima awe na miti mitano ya kuhudumia
Malch sijui kama ndiyo mulch hii
Ni majani makavu ambayo unaweka kuzunguka ule mti kwa lengo la kutunza unyevu unapaomwagilia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Huyo mzungu anadeal na nini
Wakati nasoma form three ilikuwa ndiyo tunadeal na miti kila mwanafunzi wa form three lazima awe na miti mitano ya kuhudumia
Malch sijui kama ndiyo mulch hii
Ni majani makavu ambayo unaweka kuzunguka ule mti kwa lengo la kutunza unyevu unapaomwagilia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna project ya kilimo anataka afanye,ndio kaingia tz,Sasa nilikua sijui ndio vitu gani
 
Tafuta sehemu yeyote kwenye kilimo, mfano nje ya mji maeneo ya kigamboni ndani ndani, vikindu mpaka mkuranga kule watu wakishapalilia ndo wanatoa hayo magugu wewe unaenda na gari yako unabeba.
Huyu gari hana sasa, mwambie njia mbadala ya kuyabeba, mweleze akod gari akabebe au mwambie aende akasurvey kwanza, kwa namna alivyouliza hapa jamaa ni slow learner sasa hawa huwa kuna namna yakuwaelekeza mkuu, unaenda hatua kwa hatua mkuu..
 
Sawa sawa ,Asante kwa ushauri
 
Salute,
Wakuu wapi nitapata mbegu za mulch,kwanza sijui mulch ni mizizi ya Nini,au ni mboga za majani au ni Miche ya matunda gani.
Kuna mzungu kaniambia anaitaji kununua ,nimtafutie kwa wingi,ziwe dar .
Zimenipa ushamba kujua ni kitu gani.anayezijua msaada tutani
Mulch ni matandazo,sasa yapo ya aina mbili 1.Organic mulch,hii imegawanyika tena ktk sehemu mbili yaani Live mulch na dead mulch,live mulch ni mimea ambayo inakua kwa kujitawanya hivyo kufunika ardhi na kusaidia kuhifadhi unyenyevu na kuzuia magugu kuota Mfano ni alfalfa plant,na aina Nyingine ni dead or non living mulch,hii ni mimea iliyokauka ambayo hutumika km matandazo Mfano majani ya maharage,karanga,majani ya migomba ambayo hutandazwa juu.
2.In organic Mulch,hii inahusisha makaratasi ya nylon ambayo hufunikwa juu ya ardhi.

Kumbe km amekwambia utafute mbegu za mulch,Maana yake anataka kutumia Live organic mulches.Itabidi sasa umtafutie mbegu za mimea jamii ya mikunde km Alfalfa ambazo atazipanda shambani,wakati Mwingine hujulikana km Cover crops.
 
Back
Top Bottom