Ulisikia wapi?

Ulisikia wapi?

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,316
Wanawake 7 kwa Mwanaume 1 - Wapi na wapi?

Kuna Wakristo wanaoshambulia takwimu ambazo hazithibitishi uelewa wao mbovu wa Isaya 4:1.

Kuna watu ambao hushambulia data na masomo ambayo hayaambatani na mtazamo wao wa ulimwengu uliopotoka.

Nabii Isaya aliandika..... Isaya 4:1 "Siku hiyo wanawake saba watamshika mume mmoja walale naye."

Nabii anazungumzia SIKU gani?

Jibu lipo katika Isaya 4:2 Siku ambayo Masihi atakaporudi mwishoni mwa Kipindi cha Dhiki – Anaitwa hapa kama, ‘Tawi la Bwana' Wanaume wengi wa Kiyahudi watakuwa wamekufa katika Vita vya Har–Magedoni ( Isa 3:25 ). .

So wanawake 7 wa kugombania mume 1 wa kuwalala wanaozungumziwa hapa ni mabaki ya Wayahudi.

Watu wengi hunukuu aya hiyo kimakosa kwa sababu ya kutosoma sura nzima ya nne na sura ya tatu iliyotangulia ili kufahamu muktadha wa kifungu hicho. Kwa ufupi kifungu hicho kiliwahusu wanawake wa kiyahudi waliopoteza waume zao ktk vita.

Kwa hali ya sasa takwimu za Umoja wa Mataifa na The World Factbook zinaonyesha wastani wa uwiano wa kimataifa wa Wanaume kwa Wanawake ni takriban 1:1 - huku wanaume wakiwa milioni 44 zaidi ya wanawake katika idadi ya watu duniani. Hivyo wanaume ni wengi kuliko wanawake, na hapo ndipo nakazia kuwa wanawake hawawezi kugombania mwanaume mmoja ilhali kuna wanaume wengi ktk global village.

Pamoja na hayo inajulikana wazi, katika nchi nyingi za ulimwengu wa tatu hivi leo, tuna wanawake waliopo ktk ndoa za mitaala hivyo huolewa na mwanamume mmoja kwa ufahamu kamili wa wakeze wa mwanaume mmoja. Hii haimaanishi kuwa wanawake ni zaidi ya wanaume - lakini inaonyesha ni kwa kiasi gani wanawake wanatishika katika ndoa nyingi kwamba hawawezi kutilia shaka maadili ya waume zao.

Tuache kutafsiri vibaya maandiko.

Kwa sasa wanaume ni wengi kuliko wanawake
 
Isaya ni mwanaume mwenzenu.
Mihemko ya nyege hamna lolote
 
Sasa baba baroko….hv kwenye hyo tafiti hawakuona kati ya wanaume 10 hao wa 4 ni mashoga…
 
"Vita vyoote wamepigana wanaume na waliokuwa wanakufs huko ni wanaume "

Just saying
 
Back
Top Bottom