wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Nipo Mbeya City, wapi nitampata hizi Men blacelet?

    Wakuu, nipo Mbeya City nahitaji hizi blacelets, offcorse Mimi sio mpenzi wa saa za mkononi Ila napenda sana blacelets za kiume kama hizi, nikivaa hizi najisikia niko comfortable sana. Nilizokuwa navaaga zimenipotea. Moderator naomba ubadili hapo kwenye title "nitampata=nitapata"
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Lissu unaporomoka? Angalia umati aliohutubia jana Dar es salaam

    Jana wakili msomi Tundi Antipas Mughwai Lissu alikuwa na ziara Dar es salaam katika maeneo ya Mbopo ambayo yana mgogoro kati ya wananchi na Shirika la Maendeleo Dar es salaam (DDC). Mh. Lissu mwanzo wa hotuba yake aliwauliza wananchi waliofika kwamba, nyie ndio wakazi wa eneo hili pekee...
  3. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua Mfanyabiashara Mkubwa

    ✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mzee Makamba?

    Siyo kawaida yake kuwa kimya namna hiyo hasa kwenye nyakati za SINTOFAHAMU kubwa nchini kama wakati huu wa suala la BANDARI. Lakini, mzee Makamba ni kiongozi mstaafu ni wajibu wa Wananchi kufahamu alipo na anaendeleaje. Wengi wetu tulitarajia waandishi wa habari kama ilivyo ada wangeshamfuata...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

    Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo. Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mpina kupora mashamba limeishia wapi?

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Sanga aliitisha mkutano na kutangaza kuunda tume ndani ya siku 14 kuchunguza madai ya Mpina kupora mashamba ya wananchi Morogoro. Swali langu ni moja tu siku 14 hazijafika? kwanini matokeo ya tume ya DC Morogoro hajaweka hadharani matokeo ya tume yake.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wagner walipokinukisha warusi wa Buza waliishia wapi?

    Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana? Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner? Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake? Wako wapi kina Yericko Nyerere na...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunakwama wapi?

    Mara hatuna nguvu, mara kimoja chalii, mara sitaki watoto wengi n.k Haya sasa, huyu ndiye mwanaume wa shoka anayetakiwa kuigwa na wanaume rijali, na mimi kama equation x nitafuata nyayo zake. Kuhusu nitawalisha nini; msiniulize, jaribuni kumuuliza huyu alikuwa anawalisha nini! Nb: Dunia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  10. raakha

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Jerry Muro?

    Ndg wadau, YUPO WAPI aliekua DC machachari ikungi bwana Jerry MURO. Nakumbuka kijana huyu aliyavaa madaraka mpaka akasahau kwamba cheo ni dhamana tu. Leo hii kapotea kabisa Wala hasikiki, si ni Bora angebakia msemaji wa Yanga kipaji CHAKE kingekua na asingalipotea kirahisi hivi.
  11. jhope

    JamiiForums Tanzania Nauliza lift up kit Kama hizi huuzwa wapi hapa Dar? Vp bei zake

  12. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mamito Evelyn Salt wa Jf

    Wewe kiumbe uko wapi!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Timu ya Azam inakwama wapi?

    Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake, Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu. Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi ndugu Mpwayungu Village mdau na Mtetezi wa Sekta ya Walimu Tanzania

    Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela, Mzee Warioba, Dk. Salim, Mzee Msuya, Mzee Butiku mko wapi majadala wa kitaifa kuhusu Bandari?

    NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari? Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu. Mzee...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Kwema Wakuu, Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji. Mpangaji Aina ya nyumba: Appartment / stand alone...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 60 tulikuwa tunalingana na Korea kimaendeleo, hawa jamaa walijikwaa wapi mpaka tukawaacha mbali kiasi hiki!

    Leo asubuhi nilikuwa naangalia tv moja ya Korea kusini nilishangazwa na maendeleo hafifu ya hawa jamaa na nilipoangalia historia nikakuta kumbe miaka ya Uhuru tulikuwa karibu sawa. Wakati Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki wao bado wamelala usingizi mzito. Sisi tunatengeneza Magari...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

    Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk. Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa. Yupo wapi?
Back
Top Bottom