Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets.

Ni wapi naweza kuipata?

 
Back
Top Bottom