wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, wapi naweza kupata hekari ya ardhi kwa gharama ya chini ya 50k

    Nimeambiwa Tz hapa kuna sehemu ardhi mpaka elf 50 kwa hekari. Nipeni raman nichukue hata heka 10
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
  3. JamiiForums Tanzania Pesa zilizotolewa na mfalme wa Morocco ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma ziko wapi?

    Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Hivi lile group la kijeshi la Wagner limepotelea wapi?

    Just nauliza tuu maana lilitetemesha utawala wa Putin a couple of months ago au ndiyo walimaliza mmoja mmoja kwa kifo kama vile ndege iliyo dunguliwa? Za jioni?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania waziri anafanya utani kwenye mambo yanayohusu diplomasia na hakuna anayemkanya wala kumtaka aombe radhi; tunakwama wapi?

    Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport. Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

    Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa. Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa...
  8. JamiiForums Tanzania Wapi hukuelewa kuhusu movie ya Jumong na Spatacus?

    Kama kuna sehemu unahitaji kuielewa ambayo huenda hukuielewa kwenye movies hizi sema ueleweshwe.
  9. JamiiForums Tanzania Nauliza wale tunaonyesha sasa Upendo Tukuka kwa Samia tulikuwa wapi Kumuonyesha wakati John akiwepo?

    Halafu natoa ONYO mnaojifanya Kumpenda na Kumsifia sana sasa tutakuwa tunawarekodini na hata kuwapigeni Picha au kuchukua Video zenu mkiwa nasi Vijiweni mnamkandia na kumdhalilisha Samia Wanafiki wakubwa nyie sawa? Badilisheni hicho Kijiwe chenu cha Majungu na Unafiki cha Mbezi Beach zilipo...
  10. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

    Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀
  11. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata dagaa wa mwanza wa mafuta

    Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tundu Lissu?

    Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki lilishirikishwa kwenye hizi taasusi mpya? Padre Kitima tunaomba ufafanuzi wako

    Napenda msimamo wa Padre Kitima, napenda pia Msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Nimeona Divinity imepandishwa kutoka optional subject imekuwa mandatory subject kwenye baadhi ya combination. Yeye kama kiongozi wa kiroho na maaskofu wanaona hii ni sahihi? Wao kama viongozi wa dini...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini. Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile. Sera hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nahitaji kufahamu ofisi za bolt ziko wapi maana nimesikia wamerudi

    Wana JF anayejuwa ofisi bolt zilipo sasa amenipe location. Asanteni!
  17. JamiiForums Tanzania Yuko wapi witness j?

    Kuna huyu dada anaitwa witnessj muda mrefu umepita sijamsoma humu jukwaani. Witness popote ulipo nakusalimia. Xxx
  18. JamiiForums Tanzania Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  19. JamiiForums Tanzania Is the future exciting? Unaiona wapi dunia katika miaka/siku zijazo?

    Dunia ina ina muda mrefu tangu kuwepo kwake,binadamu tumepitia vipindi tofauti mpaka kufikia sasa ambapo tunaongelea kipindi vumbuzi nyingi zinafanyika,fursa nyingi za kiuchumi zinakuwa na jamii inakuwa ni ya kuchanganyika. Muda umetufikisha katika ulimwengu ambao hatuna shida ya kwenda sehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…