Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 528
- 1,045
Waungwana Habarini Za Asubuhi
Kwamujibu Wa Takwimu za United Nations kwa Makadilio ya Mwaka Huu 2026 Dunia ina Jumla ya Zaidi ya Watu Billion 8.3 Na Inakadiliwa Itafikia Zaidi ya Watu Billion 10 Kufikia Mwaka 2050,
Makadilo Ya Sasa Ya Umri Wa Kuishi/Life Expectancy Kwa Dunia Ni Miaka 73 Na Kwa Tanzania Ni Miaka 67,
Kwa Makadilio Miaka 80 Ijayo Asilimia 95% Ya Watu Tuliopo Sasa Tutakua Hatupo,Je Dunia Itazika Wapi Watu Billion 8.3?
Swali Langu Huenda Likawa La Kipuuzi ila Lina Maana Ukitafakari,Watu Wanaongezeka Ardhi Haiongezeki,Unaweza Jibu Watapata pakuzikwa Maeneo ya Wengine waliozwika awali kwasababu Watukua Walishaoza Lakini Hilo Haliwezekani Kwasababu Makaburi yanajengelewa.
Nafikilia Dunia Itajengeka Sana kwa Majengo na Miundombinu ila Itafikia Wakati Kwa Miaka Ijayo Majengo na Miundombinu itabomolewa ili zipatilkane Nafasi za Wapendwa Waliondoka Duniani Kuzikwa.