Tulia uko wapi mbona husemu neno?. Mwakalenga jana katapeliwa

Tulia uko wapi mbona husemu neno?. Mwakalenga jana katapeliwa

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,112
Reaction score
27,716
Wakuu kwema?

Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online.

Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na walivyo wajanja wakampigia simu kwa videi iliyorekodiwa kuwa anaongea na Tulia. Jamaa kajikomba pale "mheshimiwa, mheshimiwa" heeeh sindo katuma hela.

Na wakamtumia namba alipe akalipa, nimemshtua kuwa hao jamaa matapeli jamaa kabisha vya kutosha. Kwa mujibu wa kwao mkopo atapokea ndan ya dakika 15 tu. Cha ajabu nimesubir nae kuhakiksha jamaa matapeli kama masaa mawili hiv na hakuna aliepokea mkopo. Ndugu yangu Mwakalenga akalala na kulala 😂
Screenshot_20260812_081643_WhatsAppBusiness.jpg
 
Tulia trust haijamtapeli mtu, n tapeli katumia Tulia trust kutapeli.

Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?

Ukiwa fala, naunga mkono unyooshwe mana huna akili so ngoja wenye akili wakutumie.

Msalimie jamaa mwambie nimesema na bado
Sasa mkuu kwa ushaur huu kama Mwakalenga anakuwepo si anaenda jela na wewe unaenda ICU?
 
Tulia trust haijamtapeli mtu, n tapeli katumia Tulia trust kutapeli.

Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?

Ukiwa fala, naunga mkono unyooshwe mana huna akili so ngoja wenye akili wakutumie.

Msalimie jamaa mwambie nimesema na bado
Kwa hiyo mkuu ndo mmeweka na kivideo cha Tulia kama anasalimia ili mzipige vizur 😂
 
Namuambia jamaa matapeli hao, akawa kibaraka wao. Kawatetea sana, zaidi ya lisaa anatetea, alivyoanza kuamini akapitiwa na usingizi kabisa mana haamini
Kiherehere chote kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa, safi sana
Dawa ya mjinga ni kunyooshwa tuu.
 
Nguvu anazo sema mwili mkubwa kichwn hakuna kilichosalia. Kwa kukudana yule anakuliza mkuu ni giant sema tu jumba tupu yani pagale 😂
Hawez kuwa na hizo nguvu za kunipeleka icu mana huyo hajitambui, unaomba mkopo iweje sasa ww ndio utoe pesa?

Hapo umeomba mkopo au umewekeza?
 
Huyo aliyeta
Tulia trust haijamtapeli mtu, n tapeli katumia Tulia trust kutapeli.

Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?

Ukiwa fala, naunga mkono unyooshwe mana huna akili so ngoja wenye akili wakutumie.

Msalimie jamaa mwambie nimesema na bado
Huyo aliyetapeliwa ni mwanzisha mada mwenyewe.
 
Sio kweli.

N fursa ya wenye akili kupata pesa kupitia wajinga wajinga, n kama mwamposa tuu anavyowanyoosha wajinga
Kuna watu wamepata kaz pale kawe mkuu, kuna sista angu alivyoanza kwenda pale aliolewaga mana ndo alikuwa anaona age go watu hawana mpango wa kuchukua jumla
 
Back
Top Bottom