wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wako wapi watu wako mliosoma wote

    Mlikuwa darasa moja lakini hatima hazikufanana.. Mlijenga urafiki mkashirikiana katika mengi. Lakini hatima hazikufanana. Wengine mkafikia hatua ya kuwa familia kabisa.. Kwenu kwao na kwao kwenu. Lakini hatima hazikufanana Mlikaa dawati moja mkasaidiana masomo, wengine mkacheza pamoja lakini...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

    (1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki?? (3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu...
  5. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wamekimbilia wapi miji yote mieupe hamna hata mbwa barabarani

    Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    Siku hizi maisha ya chuoni yamebadilika sana kwa sababu ya AI (Artificial Intelligence). Kuna AI tools ambazo zinaweza kusaidia sana kwenye masomo na kazi za chuo. Badala ya kupambana peke yako, unaweza kutumia AI kama rafiki wa kujifunza. 👉 AI inaweza kukusaidia kuandika assignments, kufanya...
  7. Augustking

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata office space km hii

    Habari wana JF Moja kwa moja kwenye mada. nimechoka kufanyia kazi nyumbani mimi ni frelancer nahitaji office space ukubwa km huu kwenye hii video maana wateja wangu wengi ni wa online. naomba km kuna mtu anaweza kuniunganisha na dalali au muhusika anaeweza kunisaidi. najua JF humu wadau wapo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania YUKO WAPI DOKTA MANGURUWE?

    Dokta Manguruwe alivuma sana na mradi wake wa nguruwe pale dodoma, na mara nyingi alionekana mtaani, mara kwenye mechi ya Simba akigawa fedha. Sasa hasikiki tena Yuko wapi dokta Manguruwe????
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tuombe msaada kutoka wapi?

    Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi? 1. Bunge si letu 2. Mahakama si yetu 3. Serikali si yetu
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hizi fulana zinapatika wapi Kwa hapa Dar?

    Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  13. FYATU

    JamiiForums Tanzania Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu dunia inaenda wapi?

    Kuzaa kuna mengi 🤔🤔 https://www.facebook.com/share/16QrnEtdUo/?mibextid=xfxF2i Mtoto anapigana na mzazi wake? Hii ni zaidi ya laana na mikosi kwenye familia.. Lakini pia kuna shida kubwa kwa mzazi kwakuwa mtoto umeavyo ndivyo akuavyo Hii video imeniumiza sana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukatili wa ajabu wa kwenye Uongozi wa Rais Samia umetoka wapi?

    Wakati wa Magu tulikuwa tunajua ni mtu anayeamini njia yake pekee sio mtu ambaye alikuwa mrahisi kumshauri. Kwa ufupi Magufuli alikuwa mtu wa msimamo mkali. Hivyo haikushangaza sana kwa yake yaliyokuwa yanatokea. Lakini Magufuli alikasirikia kila kitu hadi rushwa na uzembe. Raisi Samia mwanzoni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hivi chauma imefia wapi jamani!!!

    Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya chauma. Sijui imefia wapi kabisa mana sasa hivi talk of the town ni no reforms no election
  17. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Si mlisema tatizo ni Magufuli na Mkafurahi alivyokufa kana kwamba yeye ndio chanzo cha yote nchini, sasa Kiko wapi?

    Mzuka Wana Jamvi.. Binadamu ni waasi na ni waovu.. Nakumbuka jinsi walivyokuwa wanampopoa Magu na kufurahia kifo chake kana kwamba tokea uhuru Magu ndio alikuwa raisi pekee na kuleta matatizo yote haya , pamoja na hayo Mkaenda mkaandaa nyuzi za kumsifia sana Rais Samia na ili kuwaumiza wafuasi...
  18. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Gadgets halisi(OG) zipo wapi?

    Wajuvi wa mambo, Kama heading inavyosema. Hivi, hapa Dar/Tz duka gani huuza vifaa vya elektoniki mfano simu, kompyuta , camera, n.k. halisi kabisa? Yani ninunue, niweze kusajili kifaa changu kwenye website ya manufacturer,kwa mfano, kama wafanyavyo mbele huko. Je, ni kweli nikiingia maduka...
  19. PSL god

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
Back
Top Bottom