wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

    Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa? Sipemdi...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi vitabu original vya Torati, Zaburi na Injili ambavyo havijapotoshwa/kuchakachuliwa?

    Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

    https://www.jamiiforums.com/threads/ushawahi-kujichanganya-kimapenzi-mpaka-ukawa-unawaza-hapo-nyuma-ulikosea-wapi.2291358/ Kwema wanafamilia.... Maisha haya hayana mapumziko, hasa hasa sisi wanaume, wanakuambia utapumzika ukifa.... Misukosuko nayo ni sehemu ya maisha hata ujitahidi vipi...
  5. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata solar

    Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wale jamaa "USHAHIDI: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA" waliishia wapi

    Watu wakaoga mamikojoo weee🤣🤣, sijui huko wanaendeleaje Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010. Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi CHAUMMA imepotelea wapi? Na ile chopa yao iliishia wapi?

    Hivi chaumma imepotelea wapi? Na ile chopa yao iliishia wapi? Anyways nani yupo free nimpitie kesho twende tukale mihogo na samaki?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ma box makubwa matupu , wapi wanauza mabox matupu?

    Habari wadau Wapi wanauza ma box ?
  11. blogger

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lodi Music? Anajua sana!

    Nimejikuta hapa .. nikamkumbuka. Yuko Wapi now Lodi Music?
  12. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  13. cacutee

    JamiiForums Tanzania Ushauri wapi patanifaa

    Habari zenu wapendwa. Mimi Niko salama. Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri. Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko. Nimechoka pia Kuishi ukanda wa pwani ninatamani maisha mapya na watu wapya. Hata kama nitaajiriwa pia huko sio mbaya...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Yanga waweka bango kubwa za mechi walizo wafunga Simba

  15. evangelical

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Dr Mpango ?

    Jana sijaona akitambulishwa bungeni Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ? Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi? Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine? Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Trump kasema mpaka sasa Uchumi wa Marekani unafanya vyema je, yule niliyemsahau aliyesema kuwa Tanzania sasa ina Uchumi kuwazidi alizitoa wapi?

    Jamani ifike pahala sasa kama tunajijua kuwa ama tumelewa au tumelala nazo tusiwe tunakurupuka kwani tunaaibika!!
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nitakufaje? Na lini? Wapi? Nikifanya nini?

    Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu...
  19. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi. 1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je maji yalitokea wapi?

    Hail the Prince, "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji." Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
Back
Top Bottom