The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Mimi, mmoja wa watumiaji na mdau mkubwa wa lugha ya Kiswahili na mpenda maendeleo ya lugha hii adhimu, ninaandika malalamiko haya kwa masikitiko makubwa juu kukosekana kwa kamusi mtandao ya taasisi kubwa na yenye mamlaka kama BAKITA katika zama hizi za ukuaji wa kasi wa teknolojia. Awali...
Askofu Josephat Gwajima sasa kaisha. Kwanini hakujifunza toka kwa Jobless Ndugai juu ya kutotabirika kwa mama yao?
Alijionyesha kama mtu anayejiamini kumbe mwoga wa kawaida!
Ajirokeze na kupayuka kama mrume kweli tumuone.
Japo alikuwa na hoja, hali ilivyo ni ukweli kakimbia hoja na kuangka...
Nimesoma sana kuhusu hii dawa SHILAJIT. Hasa ile ya kutoka Himalaya lakini sijui kama inapatikana Hapa Dar.
Tafadhali mwenye ufafanuzi anielekeze fika gani inapatikana.
Ndo kusema kwamba wanamuogopa myahudi au shida nini ,nilitegemea jinsi Iran anavompapasa myahudi kwa kipindi hichi hawa Hama's,Hezbollah na houthi wangekua nawao ni muda wao wakulipa kisasi lakini chakushangaza wamepoa kama vile hawapo shenzi kabisa iran shikilia hapo hapo
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia...
Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee wa chama—wale waliobeba misingi ya harakati na falsafa ya uongozi wa kizalendo. Swali langu ni moja...
Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu soko la Forex lakini wachache sana wanaelewa kuwa Forex si soko moja tu, bali ni mtandao mkubwa wa masoko yanayoendeshwa katika sehemu mbalimbali duniani. Hebu fikiria — kila kona ya dunia, kuanzia Sydney hadi New York, watu wanabadilishana fedha saa 24 bila...
Wakuu poleni na majukumu.
Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills.
Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio.
Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme.
Naombeni mwongozo...
Leo US katuma special envoy Lebanon anaomba Hezbullah wasingie kwenye vita ikiwa yeye ataingia kumsaidia Israel.
Vichekesho kweli ukiwa mkanisa unakuwa kama hazikutoshi vile we uingie kumsaidia Israel wengine wasingie kumsaidia Iran hahaha
https://youtu.be/YjrtagCWKi4?si=khK8Ss8kRrd22tOL
Iran...
Habari wakuu, ninaweka uzi huu mfupi kukusanya uzoefu kutk watu mbalimbali, nikiwa na uzoefu wa kulima zao hili kwa zaidi ya misimu minne tofauti, na imekuwa kila msimu ninaolima nimekuwa nikianza vizuri na hatimaye kwenye mavuno naangukia pua na kupata hasara (mambo ni mengi unaweza kuhisi hadi...
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa...
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa
======
Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now"
Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
God In his Creation
Created Gravitational Force
Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other
According to Universal law of Gravitation
State that
The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
Wakuu huyu jamaa kitwanga alikuwa mtu wa karibu sana na Magufuli nilitegemea angesamehewa maana pombe sikuona kama sababu Sana labda kama alikuwa na ishu nyingine za lugumi co.yuko wapi mwamba huyu
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
Mko salama?
Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu.
Mashirika yenyewe ni haya.
1.Pssf
2.Nssf
3. Msd
4.wcf
5.Tanesco
6.Ewura
7.Latra
8.Tcaa
9.Tcra
10.heslb
11.CAG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.