Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
Tandale sehemu ganiTandale
Hizo t-shirt unazipataNaombeni msaada
SokoniTandale sehemu gani
Wapi mkuuHizo t-shirt unazipata
Huwa wanauza Bei Gani mkuuCDM makao makuu au pale ufipa kinondoni
Ni hizo zenye hio rangi tuWapi mkuu
Hamna wa kuniteka mimiUkivaa hiyo jiandae kutekwa.
T/shirt ni nzurii Sana Ila ukivaa OVYO ovyo unaweza vutia watekaji.Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
Upo sahihi mkuu hiyo kwa Hali ya Sasa sio ya kuvaa ovyo ovyo unaweza kuuwawa maana binadamu wa CCM na SERIKALI yake wamekua kuwa wanyamaUkivaa hiyo jiandae kutekwa.
Hamna wa kuniteka mimiT/shirt ni nzurii Sana Ila ukivaa OVYO ovyo unaweza vutia watekaji.
Maana inasemwa wanavuta Sana bange na kulewa muda woteeee so hugeuka wanyama.
Zipo vizuri Sana mkuu 🤓
Sawa nunua vaaa Ila nakushaurii ANDIKA WOSIA KABISA KABISA 😊☺️Halba wa kuniteka mimi