wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Mapedeshe waliotamba

    Waliotamba Enzi za JK? Enzi za utawala wa Rais Jakaya Kikwete (2005-2015) zilikuwa zimejaa rangi na mvuto wa kijamii, hasa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo wajasiriamali, wafanyabiashara, na watu wa tabaka la juu—waliowajulikana kama "mapedeshee"—waliongoza maisha ya kifahari na kujulikana...
  2. Sakwe

    JamiiForums Tanzania WAKO WAPI MAPE

    10000
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

    Wakuu Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani. Hivi ziliishia wapi?
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

    Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu. Walichokifanya...
  5. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Pakistan na India waliishia wapi, kwanini wahindi wamekasirika Modi kukubali amani kwa ceasefire ?

    Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Muhenga unakumbuka wapi sindano za kuchemsha?

    Miaka ya nyuma, sindano baada ya matumizi zilikuwa hazitupwi. Zikitumika zinachemshwa kwenye maji ya moto kama inavyoonekana pichani na baadaye hutumika kuchoma tena watu wengine. Sindano inatoka kwenye sufuria huku maji yakiwa moto balaa. Nakumbuka kuna kipindi bro alikwenda shule na wakapewa...
  8. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Gwajima Mbwa Mjanja kamwe habwekei Uani kwa Adui bali hutafuta Kichaka chake cha mbali ili akibweka anajua akimbilie wapi

    Kinachonishangaza una Marafiki zako Mfumoni ila wameshindwa hata Kukushauri namna ya kufanya na umeingia 18 zao.
  10. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Maabara ya kutunza mbegu za asili (Seed bank) ipo wapi?

    Nahitaji kujua kama Tanganyika tuna Seed bank (kwa ajili ya kutunza mbegu za asili ya Tanzania) kwenye hii dunia iliyojaa GMO
  13. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wapi naweza kupata Star Anise

    Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tanga-Kibaoni - Kilare road: Mbunge Ummy Mwalimu, 15 Billions zimeishia wapi?

    Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena KULIKONI?
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela. Amefia wapi huyu Mwamba?

    Bonge la mchezaji. Ni kitambo sasa hasikikiki. Mpaka naanza kujiuliza amefia wapi kimpira? Au tayar tushamuuza kimya kimya? Tunahitaji kumwona akisakata gozi huyu bwana mdogo mwenye kipaji chake
  16. Shaas

    JamiiForums Tanzania Unateseka ukiwa wapi?

    Mwezi wa sita ndio uhu mwezi wa production single ndio tuna pata shida na maduveti 😔 usiku mkubwa
  17. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza Serikali Huwa inawapeleka wapi watu wanaokufa na kuzikukwa Kisha wanapatikana wakiwa hai?

    Mapendo Daima..... Hiki kitu Huwa najiuliza mara nyingi sana Kila akipatikana mtu wa aina hii serikali huwachukua na kwenda nao na Huwa sijui inawapeleka wapi na kamwe Huwa hawarudi maisha Yao yote. Kuna tukio lilitokea Gaita kijijini miaka kadhaa imepita nikiwa Moja ya mashuhuda wa tukio...
  18. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Samsung A35 original kwa dar wapi ntapata

    Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ukitoa Askofu Gwajima ni wanasiasa au watu wapi maarufu hawajabadilika kimitazamo tangu Hayati Magufuli mpaka sasa ?

    Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha . Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo . https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Back
Top Bottom