Ina maana toka Ngoma ajiunge SIMBA hadi anaondoka, hajawai ona SIMBA ikishinda kwa YANGA?
Kuweka mabango ni ushamba sio..Hawa jamaa washamba sana
Tunawakati mgumu sana wanasimba kipindi hikiHawa jamaa washamba sana.
Ukiwa na akili huwezi hujumiwa na chama chakavu.SIMBA INAHUJUMIWA NA CCM
Mbona kama imetoka hii, painful 🤣Hawa jamaa washamba sana
Kuna vingine mnasingizia tu shetaniSIMBA INAHUJUMIWA NA CCM
Ahsante! Raha mpaka basi, kutokuwa mshabiki wa Yanga ni sawa na kukosea kuoa.