kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,231
Reaction score
7,513
Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa.

Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee hao watu? Ni jumapili tatu zimepita wanakula kipigo tu,...

Mwenyezi Mungu amekaa kmya kwa sababu Gani? Mwenye kujua au wataalamu wa teolojia tuambieni,..
 
Mungu ni mwelevu sana hakosei na anasababu some biblia yote kama hakuna mtu aliyeitwa ayubu huyu pia alipitia mateso lakini mwisho wa siku alikuja kuwa tajiri sana sio wote walisaidiwa moja kwa moja mungu alifanya vitu kwasababu.
 
Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa.

Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee hao watu? Ni jumapili tatu zimepita wanakula kipigo tu,...

Mwenyezi Mungu amekaa kmya kwa sababu Gani? Mwenye kujua au wataalamu wa teolojia tuambieni,..
Mungu hayupo mkuu. Hizo habari za Mungu ni hadithi za watu tu.
 
Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa.

Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee hao watu? Ni jumapili tatu zimepita wanakula kipigo tu,...

Mwenyezi Mungu amekaa kmya kwa sababu Gani? Mwenye kujua au wataalamu wa teolojia tuambieni,..
Dini zote ni ujinga tu.
 
Kuelekea kurudi kwa YESU Wakristo watapata tabu nyingi, it was long prophecied.

Tutaendelea kulishuhudia jina la Bwana hadi kifo. Ndo mjue hatumshuhudii kwasababu katupa vitu. Bali kwasababu tunampenda. Na tunaamini ahadi zake.

BWANA YESU ASIFIWE SANA.
 
Back
Top Bottom