wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yalia na idadi ya wapiga kura: "Hao milioni 2.6 wametoka wapi?"

    Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu amekosoa takwimu zilizotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa idadi ya wapiga kura mwaka huu inafikia zaidi ya 37.6, wakisema idadi hiyo inapingana na takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliyotoa idadi ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wapi ntapata Vifaranga vya Kenbro kwa Dar?

    Wadau wa ufugaji kuku waliopo Dar , nahitaji vifaranga kwa kuku chotara aina ya Kenbro kwa dar kwa sababu lazima nitume kijana aje kukagua parent stock , wakiwa vizuri ntachukua wengi kidogo kama 2000 hivi.
  4. Mangi Meno

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. JE, NI QURANI YA AINA GANI ILITEREMSWA KWA SABABU KITABU CHA KARATASI HAKIKUTOKA KWA ALLAH?? Hapa allah anathibitisha kuwa...
  5. Ma mee

    JamiiForums Tanzania Majani ya Kratom nayatoa wapi?

    Wapendwa naulizia kratom leaves / majani ya kratom kwa hapa Tanzania bara nayapata wapi?
  6. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania wapi naweza kupata ndege kasuku kwaajili yakukununua kwa hapa Dar

    habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar naomba tuwasiliane pm tafadhari sana.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo inayotolewa na taasisi za fedha rate margin wanaitolea wapi?

    1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
  8. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania UPDATES ZA USAILI WA ONLINE TUNAUPATIA WAPI?

    Hellw jf,kwa usaili wa online updates tunapata wap maan ni week moja sasa tokea waseme tutajulishwa kwny akaunt zetu na tovuti lakini ni bila bila,hamna kitu.
  9. La gioconda

    JamiiForums Tanzania Niwapi nina weza pata

    Niwapi nina weza pata HISSOP_HISOPO FRANKINCENSE-UBANI MYRRH_MANEMANE na mafuta ya mzeituni
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?

    Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English. Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Napata wapi Karabai? Je, bei yake ikoje?

    Wakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tume iko wapi kukibana CCM na mgombea wake ili kutengua uteuzi wake? Tume itende haki

    Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Nature Mshana jr hii ni nini na inapatikana wapi?

    Nimeitoa fb huko kwakweli sijaelewa kama ni uyoga au sijui nn😂😂 Mshana Jr
  16. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  17. K

    JamiiForums Tanzania Walikuwa Mungu mtu 2016-2020 sasa wako wapi?

    Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa?

    Wakuu, Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation. Nilichopenda ni kuwa pamoja na kusainiwa Roc Nation, lakini Ayra ataendelea kuwa chini ya Mavin. Yaani Roc Nation ni...
  19. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajui washikilie wapi?

    Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE. Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao. Hii ni kwa...
  20. Nelly

    JamiiForums Tanzania Ameenda wapi member huyu?

    Ni kijana aliyejitambulisha kama Tajiri asiye na baya lakini ghafla akapotea katika mazingira ya kutatanisha. Mimi nikiwa kama Kijana Masikini nilipenda sana kuchukua nondo kutoka kwake, Tajiri Sina Baya. Popote alipo Kipenzi chake Marry Diana anamsalimia.
Back
Top Bottom