Utekelezaji wa mambo haya uliishia wapi?

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
2,017
3,037
Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi?

AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa?

KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi

USAFI kila mwezi je?

Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu viongozi wake wote wanaumwa.
 
Umesahau kuulizia tija ya kusajili laini za simu kwa finger prints.
Juzi kati mkuu wa nchi nae anashangaa kwamba faida yake ilikua nini? Maana hakuna kilichobadilika.
Subiri usajili wa line kwa mara ya tatu, wakulungwa wajipigie tena.
Nchi ya makondoo hii.
 
Vipi kuhusu kuanzishwa kwa somo jipya la Historia ya Tanzania, sijui limefikia wapi?
 
Umesahau kuulizia tija ya kusajili laini za simu kwa finger prints.
Juzi kati mkuu wa nchi nae anashangaa kwamba faida yake ilikua nini? Maana hakuna kilichobadilika.
Subiri usajili wa line kwa mara ya tatu, wakulungwa wajipigie tena.
Nchi ya makondoo hii.
Kinachoniudhi mpaka sasa hivi kero za maji,elimu,afya ,na barabara bado ni wimbo.
Halafu jibwa linaenda bungeni kujadili vazi,alama za vidole sijui nida!
 
Kuna matatizo katika utendaji Kwa muda mrefu sasa,

Kila kiongozi anakuja na lake badala ya kusimamia utekelezaji wa maamuzi ya vikao halali vya wananchi ambao ndio wenye nchi.

Tuna bunge, Kuna vikao vya madiwani.

Viongozi wa kisiasa wanapaswa tu kusimamia utekelezaji na sio kuwa waanzilishi na wasimamizi wa mambo , Kwa staili hiyo tutakua tunapiga mark time tu.
 
Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi?

AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa?

KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi

USAFI kila mwezi je?

Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu viongozi wake wote wanaumwa.
Na ni kweli wanaumwa ni basi tu wanatoroka ICU
 
Hela tu inawasitiri,yaani juzi waziri kasema kabisa kwamba kuwa kitambulisho cha nida hakihalalishi utanzania wako,wanasahau walivyokuwa wanakinadi walisema nini
 
Nilitegemea siku moja watatamka hayo
 
Back
Top Bottom