wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

    Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
  2. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu mnakwama wapi?

    Likija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo. Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini. Haya bodi wenyewe makao...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Waandaaji Zanzibar International Marathon mlikwama wapi?

    Twende kwenye mada moja kwa moja. Kwanza nawapongeza kwa hatua nyingine baada ya miaka zaidi ya kumi na kenda ya kupotea kwa mbio hizo na mwaka huu kuamua kuzirudisha kwa nguvu. Unapozipa mbio jina la International ina maana unategemea kuwa tofauti na zile za kina Goba, Meru, sijui Ushoroba nk...
  4. muzi

    JamiiForums Tanzania Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

    Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
  5. Triple G

    JamiiForums Tanzania Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

    Wakuu Salama! Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani?
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ninakosea wapi? Au biashara ni kipaji?

    Hbarini wafanyabiashara. Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge. Nikaona nifungue steshonari nimweke dada wa kazi awe ananisaidia, sikutaka kukopa hivyo nikafikiria nifungue biashara ambayo...
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

    Hizo hapo za kuku wa mayai wanauza wapi na kwa bei gani
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Viwapi virus vya SA, UK & Brazil

    Wadau, Kama mnavyokumbuka kuna kipindi viliibuka aina mpya za virusi vya korona vya kutoka South Africa, Brazil and UK. Virus hivi hasa kile cha SA vilisemekana kuwa hatali zaidi na kuna baadhi ya nchi zilifikia hatua ya kisotisha safari zote kwenda SA Muda umekwenda kwa sasa hatusikii...
  11. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Hukumu yao: Jamal D. Malinzi na Rugemalira, na wako wapi kwa sasa?

    Habari zenu, WanaJF! Kama kiini cha swali tajwa hapo juu kilivyo. Naomba kufahamu hukumu ya Jamal D. Malinzi na Rugemalira imefikia wapi kwa sasa? Na je viongozi hawa wako wapi kwa sasa? Karibu kwa maoni na nyongeza. NATANGULIZA SHUKRANI.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Kangi Lugola aka Mabendera?

    Kimyaaaa.
  14. ommytk

    JamiiForums Tanzania Watu umri wangu tuliokua wote wana maisha mazuri sana, sijui mimi nineteleza wapi

    Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha. Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  16. ANKOJEI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguna Miguna anaishi wapi?

    Swali wajemeni, kwa wanaojua, Huyu jamaa anaishi wapi? nakumbuka ile timbwili lake uchanguzi uliopita ambao Uhuruto walipata asilia 97% baada ya uchanguzi kususiwa na Odinga, baada ya hapo sijamsikia tena. Je, ni mkimbizi? Kwanini Uhuruto hawakumsamehe kama walivomsamehe Odinga? Msaada...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango muoneshe Waziri wa Fedha wapi ulikuwa unapata pesa za kufanya miradi ili asiumize wananchi

    Naomba utawala huu uwe makini sana katika maamuzi yanayokwenda kugusa maisha ya Mtanzania kwa sababu Watanzania bado wanamachungu sana na majonzi sasa Serikali iliyopo badala ya kutufariji inatuongezea tabu. Muwaulize wenzenu walikuwa wanakusanya wapi kodi mnasababisha mfumuko wa bei usio wa...
  18. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN SDG-7: Hatua Za Usambazaji Umeme kwa Wananchi Afrika, Je Tanzania mmefikia Wapi?

    Kuna yale malengo ya nchi ambayo nchi zote zinazoendelea (Developing Countries) zilijiekea za kuweka muda mbao kila nchi inafaa iwe imehitimu, Kitambo malengo haya yalikua yanaitwa UN -Millenium Development Goals (MDGs) ambapo nchi zote zilikua zinafaa zihitimu kabla ya mwaka wa 2,000.. Wengi...
  19. Nivea

    JamiiForums Tanzania Iko wapi ramani ya mpango mji ya Mji wa Kigamboni?

    Habarini Wajanamvi Mimi ni mkazi wa Kigamboni kwa muda sasa nina 20 yrs katika wilaya hiyo. Kuna maswali mengi ambyo nimeshindwa kuyajibu kichwani kwangu. Ninaomba mwenye uelewa au kufikisha hili jambo kwa Waziri wa Ardhi. Si kawaida ya serikali kuona karibu namna ile kwenye ule mji.. Nahisi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana. Nini kosa la mwanaume huyu?

    Jana nimerudi nyumbani ghafla nikakuta housegirl anamnyonyesha mtoto wangu wa miezi nane. Nilipaniki mno maana kuna hatari ya kumuambukiza magonjwa. Kujitetea akasema alikuwa analia sana akafanikiwa kumnyamazisha kwa kumpa ziwa na akanihakikishia kwamba hayatoi maziwa. Kwa jinsi matiti yake...
Back
Top Bottom