wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kipimo cha Follicle Stimulating Hormonie kinapatikana wapi Mwanza

    Uzi umeelewa wakuu wa jukwaa. Naomba kujua kipimo hiki cha FSH kinapatikana wapi kwa Mwanza?
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  3. JamiiForums Tanzania 500 Zimbabwean dollar sawa na 1USD, 2400 Tanzania Shilingi sawa na 1USD, Wazimbabwe wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao na sisi tunakwama wapi?

    Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu. Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS. Wamewazaje kupandisha thamani ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi. Sio kwamba ninataka tu kumkosoa Rais Samia, lakini najiuliza sana, kwamba ni kwa nini anapofanya safari kama...
  5. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

    Salute. Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  7. JamiiForums Tanzania Tabata Huduma za Kijamii Zinapatikana wapi?

    Wakuu kwema. Nipo mitaa ya Tabata na viwanja vyake huu usiku. Nilikua nauliza "huduma za kijamii" huku Zinapatikana wapi? Eneo zuri kidogo sio kama lile la Ubungo Riverside au Corner Bar watu wengi sana, tena bystanders. Najua kuna Corona, AIDS, etc ila nitachukua tafadhali zote. Asante.
  8. JamiiForums Tanzania Kodi na Tozo zinazowaumiza Watanzania: Tumekosea wapi ili tutubu?

    Ndugu zangu Watanzania tumekosea wapi mbona siku hadi siku mambo yanazidi kuwa tight sana mtaani huku. No pesa ukitumia ka hela kako kidogo unakutana na makato ya ajabu,ukiweka Vocha usalimie ndugu & jamaa napo tabu. Day after day wanakuja na mbinu mpya sio kwa ajili ya kumpa ahueni Mtanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hii Tsh 70 katika Makusanyo ya Tsh 48,489,225,670 imetoka wapi wakati Siku hizi hakuna Sarafu ya Tsh 20?

    Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70? Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini...
  10. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  11. JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaridhishwa na yanayoendelea sasa kati ya Serikali na Askofu Gwajima?

    Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu. Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima. Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule Gwajima anapeleka watu mputa mputa Sasa hivi na IGP Sirro kaingia...
  13. JamiiForums Tanzania Tutaipata Katiba Mpya, kuuzima mjadala wake ni ngumu

    Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
  14. JamiiForums Tanzania Michango ya Kumchangia Sabaya iliishia wapi?

    Kuna watu walianzisha kampeni ya kumchangia Sabaya ili kumuwekea Wakili "mkali" kabisa na kwamba walitaka kukusanya kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kwenda kumtembelea. Mmeishia wapi? Mlikusanya kiasi gani? Maana kama Wakili mliyempata ndio kashauri Sabaya aseme Yale aliyoyasema basi...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Wazee Wanaenda wapi hapa Dar es Salaam

    Wasalaamu wakuu. Kuna uwezekano mkubwa ya kuwa wanaume tunapotea mapema sana hasa kwenye hili jiji. Yaani June nilienda kijijini nimekutana na wazee wa miaka hiyo bado wanakula nchi. Lakini hapa Dar unaweza kaa mwaka usikutane na hata na mzee mmoja. La pili, nimekumbuka ile hafla ya makonda...
  16. JamiiForums Tanzania Fedha inatoka wapi na inakwenda wapi?

    naomba wanauchumi watuelekeze kama kutakuwa na makosa 1. Fedha zote zinatoka bank kuu(BOT) kabla ya kusambazwa kwa raia na bank zote zilizochini ya benki kuu 2. Bank kuu inatengeneza fedha za aina mbili ya kwanza ni virtual(isiyoshikika) na ya pili ni paper money 3...
  17. JamiiForums Tanzania Ikiwa kama Wananchi wa Tanzania hawataki Katiba mpya, Maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba yalitoka wapi?

    Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm wananchi wa Tanzania si wanaotaka Katiba mpya , bali Katiba mpya inatakiwa na wanasiasa ili watimize malengo yao, hii ndio kauli yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo. Swali langu ni hili, yale maoni ya Tume ya Warioba yaliyopelekwa kwenye Bunge la Katiba...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupiga MCSE na ITIL hapa Tanzania

    Wasalaam Wakuu nataka kufanya certification ya hizi program NCSE na ITIL Kwa tanzania wapi naweza kupata team ya kufanya discussion+test before zijapiga paper
  19. L

    JamiiForums Tanzania Waethiopia wana asili ya wapi?

    Kwenye Uafrika hawapo, uzungu hawapo wala Uarabu hawapo pia.
  20. JamiiForums Tanzania Tumeshindwa Wapi? Olympic Games Tokyo 2021

    Kama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda. Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo wa kulipa 'tozo' wao wanaanza na tozo kwanza wakiahidi uwezo wa kulipa utakuja huko mbeleni. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…