#COVID19 Rais Samia anaridhishwa na yanayoendelea sasa kati ya Serikali na Askofu Gwajima?

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu.

Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima.

Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule

Gwajima anapeleka watu mputa mputa

Sasa hivi na IGP Sirro kaingia kwenye hili saga

Je, Rais unaridhishwa na yanayoendelea? Wewe ndio mamlaka ya juu ni kutoa tamko moja tu watu wote wanatulia, ukiendelea kukaa kimya haya mambo yatafika mbali, Mmoja ameshamuhaidi mwenzie kumpiga na kitu kizito.

Mteule wako naye kajibu atakayemzingua atamvua nguo hadharani.

Sirro nae kasema haoni jinai yoyote sasa Rais kazi imebaki kwako.

Tunakusubiri utupe muongozo hili suala liishe kazi iendelee.
 
Raisi naye ni matatizo tu nashangaa watu waki ongea while waki mtoa as if hayupo ndani ya tatizo
 
sikia ndugu rais hawezi kuongoza nchi kakufuata mihemuko ya watu yaani gwajima akianza kulumbana na watu rais atoe tamko chadema wakifanya yao atoe tamko ? yuko busy na mambo ya kitaifa hata ungekuwa wewe ndiyo rais ungeendekeza midemko ya watu na wewe una demka nchi inakushinda
 
mbona jpm alikua anademka?
 
"Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima"

Jamhuri ya JF inafurahisha sana. Watu 500 wa mipasho mitandaoni wakiongea basi taifa lá watu million 60 limegawanyika.
 
hivi we unaishi oysterbay nn? huku uswahilini watu wapo team askofu na team waziri
 
Yule Maza sasa ivi anakula tu misele yaani anapenda kusafiri sana halafu mambo ya msingi huku hakuna dira
 
Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu.

Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima.

Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule

Gwajima anapeleka watu mputa mputa

Sasa hivi na IGP Sirro kaingia kwenye hili saga

Je, Rais unaridhishwa na yanayoendelea? Wewe ndio mamlaka ya juu ni kutoa tamko moja tu watu wote wanatulia, ukiendelea kukaa kimya haya mambo yatafika mbali, Mmoja ameshamuhaidi mwenzie kumpiga na kitu kizito.

Mteule wako naye kajibu atakayemzingua atamvua nguo hadharani.

Sirro nae kasema haoni jinai yoyote sasa Rais kazi imebaki kwako.

Tunakusubiri utupe muongozo hili suala liishe kazi iendelee.
Usipende kukuza mambo wewe dogo!
Taifa lipo kwenye sintofahamu????
 
Alikuwa safarini Malawi, nafikiri bado hajarudi ila anaweza kurudi na kusema hajui kinachoendelea kama mzee wetu wa Msoga...tumpe muda🤣
 
Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu.

Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima.

Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule

Gwajima anapeleka watu mputa mputa

Sasa hivi na IGP Sirro kaingia kwenye hili saga

Je, Rais unaridhishwa na yanayoendelea? Wewe ndio mamlaka ya juu ni kutoa tamko moja tu watu wote wanatulia, ukiendelea kukaa kimya haya mambo yatafika mbali, Mmoja ameshamuhaidi mwenzie kumpiga na kitu kizito.

Mteule wako naye kajibu atakayemzingua atamvua nguo hadharani.

Sirro nae kasema haoni jinai yoyote sasa Rais kazi imebaki kwako.

Tunakusubiri utupe muongozo hili suala liishe kazi iendelee.
Sio kila kitu ni mpaka rais!. Kwa mujibu wa katiba yetu, sheria, taratibu na kanuni, kila nafasi inayo mamlaka yake ya nidhamu, hadi rais, mamlaka yake ya nidhamu ni Bunge, vivyo hivyo Gwajima kama mbunge wa CCM, anayo mamlaka yake ya nidhamu, na sio rais Samia.
Wabunge wote wana mamlaka yao ya nidhamu. Ukiona kiongozi yoyote anafanya utovu wowote wa nidhamu, na mamlaka yake ya nidhamu imekaa kimya, ujue kuna mawili, huo unaodhani wewe ni utovu wa nidhamu, kwa mamlaka yake ya nidhamu, ni haina tatizo, imeridhika. Au mamlaka ya nidhamu nayo imekuwa ama compromised, au inamuogopo, maana kiukweli kuna watu wana powers!, usicheze nao, unaweza kupotea!.

Sisi wengine, kazi yetu ni kuandika tuu na kushauri tuu!.
Hili la Gwajima, tuliandika na kwenye maandiko hayo, tulishauri.

P.
 
Sasa hivi ni siku za hivi karibuni ni kama vile Taifa lipo kwenye sintofahamu.

Taifa limegawanyika kati ya Team Gwajima na Team Gwajima.

Mambo yamekuwa mvurugano kila leo ni vijembe mara katibu wa CCM nae kaingiamo mule mule

Gwajima anapeleka watu mputa mputa

Sasa hivi na IGP Sirro kaingia kwenye hili saga

Je, Rais unaridhishwa na yanayoendelea? Wewe ndio mamlaka ya juu ni kutoa tamko moja tu watu wote wanatulia, ukiendelea kukaa kimya haya mambo yatafika mbali, Mmoja ameshamuhaidi mwenzie kumpiga na kitu kizito.

Mteule wako naye kajibu atakayemzingua atamvua nguo hadharani.

Sirro nae kasema haoni jinai yoyote sasa Rais kazi imebaki kwako.

Tunakusubiri utupe muongozo hili suala liishe kazi iendelee.
Rais ndio mlezi mkuu wa taifa wabaya na wazuri wote wake ila inapotekea threat kwenye uhai na usalama wa nchi atawajibikwa kwekweli. Rais sio mtu mmoja ( mama) ni taasisi linapokuja suala la maamuzi. Criticism kwenye issue ya chanjo huwezi kusolve kwa kutumia nguvu kwani tayari mwamba wa chato alajaza watu ujinga. Tutalaumu vingine lakini kwenye ulinzi wa nchi tuko vizuri. Gwajima ni kitu kidogo tu believe me anaachwa tu ni upumbavu wake wa namba 666 na ninamasha na IQ za waumini wake
 
Bado wa vichokochoko ANADEMKA akimaliza atanena kwamba Gwajiboy aache vichokochoko vyake au atamzingua 🤣🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom