MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70?
Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini imejumuishwa katika Mahesabu / Takwimu ya jumla iliyotajwa na Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba?
Nitashukuru tu nikielimishwa juu ya hili.