Waethiopia wana asili ya wapi?

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
Kwenye Uafrika hawapo, uzungu hawapo wala Uarabu hawapo pia.

FB_IMG_16285114834817646.jpg
 
Unaposema kwenye Uafrika hawapo unamaanisha nini?
Afrika kuna jamii nyingi tofauti kama ilivyo Asia na mabara mengine.
Siyo Waafrika wote ni Bantu kama wewe hilo lazima ufahamu.
Ethiopia siyo jamii ya watu wa aina moja, kuna Cushites, Nilotes na Omotic people na wote wana asili ya Afrika.
 
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
  1. Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
  2. Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
  3. Hamites
  4. Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
  5. Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
  6. Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
 
Waarabu wa Afrika Kaskazini wanatokea Arabian Peninsula, wenyeji wa asili wa Afrika Kaskazini ni Amazigh / Berbers.

Amazigh asili yao ni Cushitic ingawa wengi wao kwa sasa wamechanganyikana na Waarabu na Wazungu kwa kiasi kikubwa.
 
Ethiopia na sampuli zake zote Asili yao mashariki,

Wamo djibout,erithrea na somali hata jamii ya tutsi.

Na wanafurahia sana kuhusishwa na jamii za ng'ambo.
Watu wa ajabu sana
Kwanini wasomali ni wakorofi kuliko wenzao wenye asili moja ?
 
Back
Top Bottom