wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kuna Msemo wa Maisha Ni safari, yako imefikia wapi

    Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya uchafuzi mto Mara, ukweli uko wapi?

    Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia? Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga, sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Hamisi, Mzee Tilalila na Christopher Alex walienda wapi hawa jamaa?

    Kuna wakati haya majina yalijipatia umaarufu mkubwa sana hapa nchini kutokana na kuchangia mijadala mbalimbali ya kisiasa kidini na kijamii. Hawa walikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakichangia mada mbalimbali zilizoletwa na ukisikiliza michango yao unapanuka sana kiufahamu na kiuelewa...
  4. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Tanga ulifia wapi?

    Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo. Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

    Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro. Huu sasa ni uhuni.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

    Kwema Wakuu! Nimewakumbuka Sana! Hivi wako wapi? Mko wapi? Tafadhali naombeni mnijibu! Taikon nitawarudisha na kuwapeleka mpaka kijiji cha Makanya huko nilikozaliwa, pengine labda Waislam hao ndipo walipokuwa wanapatikana lakini hapana, nilibahatika kuwaona wakati Fulani nilipoenda Morogoro...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yu wapi mwanahabari Ufo Saro aliyepata kufanya kazi ITV?

    Kuna wakati huyu dada alikuwa maarufu sana kwenye tasnia ya Habari Tanzania. Sijui kwa kipindi hiki cha "hapa kazi tu" anafanya hiyo kazi kwenye chombo gani cha habari.
  8. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  9. dubu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tsh 500 milioni anazozungumzia Saashisha mbunge wa Hai , kuna jimbo limepewa au ziko wapi?

    Huko Narumu ni kule kwenye Kata aliyopeleka 1.5Bilioni za barabara. Leo anasema anapeleka kwenye kata hiyo hiyo 500 milioni? Huyu mbunge ni mbinafsi na muongo na kuna kila dalili uchaguzi ujao atapata kura za Narumu tu. === Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe amewataka wananchi wa Wilaya hiyo...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Unakwama wapi katika biashara yako?

    Habari za wakati huu wajasiriapesa wenzetu; Kwanza kabisa niwashukuru sana wale ambao hunitafuta na kutumia huduma zangu za ushauri na uelekezi ni niwaambie kwamba wanachangia katika kunipa elimu na maarifa mengi huku nikitengeneza kipato kidogo cha pembeni. Nawashukuru pia kwa sababu kila mara...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ndugu wakulima ninapata wapi mashine ya kukatia mpunga?!

    Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
  13. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Wapi ninapata suruali aina ya Chino (cadet)?

    Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho. Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana. Ninaomba kufahamishwa wandugu
  14. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Soya bean ya Kariakoo inatoka wapi?

    Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi? Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa...
  16. The Eye

    JamiiForums Tanzania Steering Racing Wheel inapatika wapi kwa Dodoma?

    Wakuu. Naulizia sehemu yenye "steering racing wheel games" kwa Dodoma mjini. Sina gari,nataka niwe napunguza machungu kwenye hizo games.
  17. Optimists

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo wa 100,000 kwa siku ya kesho narudisha jumamosi.

    Wakuu, Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa zaidi (nauzia minadani). Hela narudisha Jumamosi jioni baada ya kumaliza mnada wa kwanza. Naishi Dar...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata maeneo ya BURE nipande miti?

    Habari Wakuu. Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti. Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2). Mwenye kujua...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  20. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi master lecture?

    Jamaa alisifiwa sana! Alipambwa kila aina ya maua! Yenye kila rangi! Tukajua mbio za ubingwa ameongezeka mwanaume wa 3! Lakin sasa mambo yamekua tofaut! Namzungumzia kocha Amolin wa azam! katka game 2 zilizopita kaambulia point 1 tena hakupata goal lolote! na mpaka muda huu tunaingia mitamboni...
Back
Top Bottom