Yuko wapi Producer Mona Gangster?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,028
Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k.

Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi hizo. Mara ghafla sisikii hata ngoma moja toka kwake?

Kwa anayejua hivi bado studio yake ipo?

Zaidi namuona mkewe yule mtamgazaji wa Clouds TV tu.

Jamaa alikuwa mkali sana aisee.
 
Nitampata wapi ya diamond , mpak kufikia 2017 shedy clever na Tuddy Thomas ndo walikuwa wametengeneza hit nyingi za diamond kuliko producer mwingine
Halafu nilochanganya diamond alikuwa anaamini sikio la tudd siyo mona
 
S2kizzy anasema hakuna aliyepata mafanikio kama yeye hasa kwenye hii generation kama producer
Maproducer wana hali mbaya, Zesti sasa hivi pamoja na hiti zote alizo myengenezea Aslay karibia 14,ila sasa hivi ukimnunulia mzinga mkubwa wa Konyagi ana kunyongea biti. C9 kapiga chini maswala ya uproducer sasa hivi kafungua banda anauza mitumba. Huyo S2kizzy sasa sababu wa moto baada ya miaka miwili anarudi kwenye msoto.

Halafu wasanii kila siku wanalalamika wanaibiwa ila wanasahau wao wana waibia sana maproducer na kuwakatisha tamaa.
 
Wasanii uwa wanalalamika kuibiwa ila wao ni wanyonyaji sana wanapenda dezo dezo. Tena msanii akiwa mkubwa anataka beat bure, aandikiwe bure eti anamtoa mwandikaji.
Kwa hits alizoandika ibra nation ilibidi naye awe vizuri
 
Tena hao waandishi ndio daah,yule Baraka Da Prince hits zote kaandikiwa Goodluck ila hajawai kuongea.Matokeo yake ya kukosa shukrani leo nae anatembelea rim.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom