wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Wapi viota vizuri kwa makutano?

    Hope mu wazima. Kwa sie wakongwe ni wapi viota vizuri vya kubarizi? Wakati mwingine katika umri huu kuanzia miaka 35 na kuendelea bila kubagua jinsia tunahitaji tena kurichaji mbongo zetu tunapokutana na watu wapya ili kuyajenga pia. Maeneo mazuri ya burudani ni wapi?
  2. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

    Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia. Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine? Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akwilapo: Kwanini wathibiti Ubora wa Elimu Mashuleni hamvai barakoa?

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameshangaa kuona watu kwenye Mafunzo na Semina Wizara ya Elimu hawavai Barakoa wala kufuata kanuni za afya za kujikinga na Covid-19. Ameonge hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uthibiti Ubora kwa Maafisa Elimu Kata na Wakuu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi alishindwa Uwaziri ameshindwa Ubalozi tutampeleka wapi?

    Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa. Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote alilofanikiwa kwenye Wizara hiyo na baada ya kumuunga mkono Lowasa chama kikamkataa. Akazunguka kidogo Kwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wapi niende ili nifanikishe kutumia kipaji changu cha kuigiza kutengeneza kipato?

    Jk
  7. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Hawa waandishi wetu wa habari, (wachambuzi) walikwama wapi kushindwa kupiga kura za ballon d orr tunazidiwa ata na burundi mwandishi wake kapiga kura

    Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya wapi wanauza nguo za kike grade A mtumba

    nahitaji nguo za kike nzuri za mtumba grade A naomba mnisaidie mlioko mbeya napataje na soko gani
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mbeya vs Dar es Salaam wapi kupo poa?

    Japokua naishi Dar es Salaam, binafsi nakupenda Mbeya kwasababu zifuatazo. 1. Mbeya kuna hali ya hewa nzuri ambayo hata mgeni kutoka Ulaya lazima aipende. 2. Mbeya kuna vyakula vingi vitamu na vya kila aina na vya bei ndogo. 3. Mbeya kuna mazingira mazuri ya kusomea 4. Mbeya unakunywa maji ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

    Nikiruhusiwa kufanya ulinganifu basi naweza kusema Hawa Ghasia alikuwa ndiye Makonda wa awamu ya nne. Tofauti yao ni ndogo sana: Makonda alipora na kuvamia mali za watu Ghasia hakufanya hivyo Lkn linapokuja suala la ukifutu, tambo na nyodo, Hawa Ghasia alikuwa sawa na Makonda. Alijivika ukubwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kuondoka jioni ya leo; wapi nitapata IT au private za Tabora?

    Wadau, Nimepata dharura natakiwa niondoke jioni hii kwenda Tabora. Nahitaji kujua kituo ambacho nitapata private car au IT na mida husika ili niende Tabora jioni ya leo kesho niwe ofisini kwa mdau then keshokutwa nigeuze. Naombeni kufahamishwa vijiwe vya kupata magari hayo. Na muda pia
  13. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

    Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni. 3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga...
  14. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

    Habari zenu wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani. Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
  15. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine. Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kama uko single weka picha yako hapa tuangalie tatizo liko wapi

    Malalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Khalid Aucho yupo wapi?

    Wanayanga wenzangu, Mchezaji wetu hatari na daktari wa mpira Khalid Aucho mganda huyu yuko wapi? Au ni majeruhi? Tunammiss sana fundi wetu huyu mwenye kiwango bora kabisa ambaye huezi mfananisha na takataka zozote za MAKOLO FC. Mwenye kujua atufahamishe wanayanga tujue!
  19. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  20. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Babalevo amjibu Babutale Mamlaka ya kuwaita Watu wapumbavu ameyapata wapi?

    Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio mabishano yasiyokuwa na tija katika tasnia ya muziki Hatahivyo alitaja idadi ya watu wanaotakiwa...
Back
Top Bottom