Wabunge wa CCM acheni unafiki na kiherehere, mlikuwa wapi siku zote kumtetea Rais Samia mpaka msubiri aongee?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa. Kelele za kumtetea Mama zilitoka kwa Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya pamoja na Karibu mkuu wa UVCCM ndugu Khenan Kiongozi. Hawa wabunge hakuna aliyenyanyua mdomo kumtetea Rais.UNAFKI!

Wabunge walioonekana kujifanya wako pamoja na Mama ni Elibarki Kingu,Mussa Zungu na wengine. Swali ni kwanini wakisubiri hadi Rais apige kelele ndio wanyanyue midomo?

Ukimya wao maana yake walikua na spika bega kwa bega ila wameamua kumgeuka baada ya Rais kuongea jana. Kujipendekeza huku kuna faida gani? Misimamo yao ni ipi? Bendera fuata upepo?
 
Tunafahamu kuwa dungai ni muhuni Lakini hata wakimsulubu ndungai mbona tatizo la kukopa hovyo litatuumiza zaidi yaani miezi 9 wamekopa 10 tril. BADO kuna tatizo
 
Kimsingi wale wote fuata upepo. Mama yupo na viongozi wa Chama mikoa na Wilaya. Wabunge asiwategamee wanaweza kumgeuka muda wowote.
 
Back
Top Bottom