wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

    Kuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani Mifano ni mingi,mfano ikiwa mwanamke anataka kufahamu mumewe alipo atampigia simu au sms "Weee bwege uko wapi? Wewe kenge...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

    Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically. Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile...
  3. doctor_clothing_store

    JamiiForums Tanzania Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mingi, wanawake wapenzi wa rafiki zangu wananitaka kimapenzi

    Nasikitika kulisema hili. Ila wanawake wa rafiki zangu ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, sasa wanataka kimapenzi. Wengi wamekuwa ni wapweke licha ya kwamba wanajimudu kiuchumi, wananiomba tu niwe amtunza utamu wao, hawatanighasi kwa lolote, wanachotaka ni dushe na togetherness. Jamani...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Haya wapenzi wa Movies kali, Kura yako inaenda wapi hapa?
  6. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Tunaishi na wapenzi wa watu

  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Utafutaji maisha ndio chanzo kupoteza mahusiano, marafiki, ndugu na wapenzi

    Harakati za kutafuta huku na huku zinatufanya kupoteza watu wengi kwenye maisha yetu usitegeme usafiri mbali kutafuta maisha alafu mpenzi wako utadumu naye. Maisha ya utafutaji ni kipingamizi tosha cha kupishana muelekeo, mtazamo na n.k. Hivi konde boy anaweza kumrudia demu wake wa Mtwara au...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Crime Movies. Ebu tazama hizi psychological crime movies. Zinafikirisha vibaya mno

    1: Seven Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti. 2: American Psycho Jamaa anaonekana mtu poa sana na mwenye mafanikio ila moyoni anajaribu kuficha roho yake mbaya ya ubinafsi then baadae...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

    "Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni unafiki" Papa Francis amesema anaona kuna "unafiki" katika kukosolewa kwa uamuzi wake wa kuruhusu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa Wanawake Kuuawa Kikatili na Waume / Wapenzi wao

    Piteni huko BBC Swahili mkaisome au baadae Saa 2 na dakika 45 fuatilieni marudio ya ufupi ya Kipindi cha Dira ya Dunia muisikilize. Kuanzia sasa ukisikia Dada yako ana Mchumba au Mume au anakaribia Kuolewa na Mwanaume wa Kenya Kwanza mpe Pole kisha muulize Akifa kwa Kipigo Kitakatifu cha...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Drama za kikore cheki dude hili lipo hewani bado Goryeo_ Khitan War

    Msije mkasema sikuwaambia
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Dada zangu, huwa mnapata wapi ujasiri wa kutuambia wapenzi wenu hatuna jipya?

    Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani. Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye...
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  15. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movies nina swali kidogo

    Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa kutakuwa na movie itakayoonyesha matukio ya Pedro Alonso or Berlin kabla ya tukio la money heist ya...
  16. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Cartoons

    Guys! Nostalgia is a real disease. Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu. Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon, Boomerang na Disney. Tukumbushiane baadhi ya cartoons tulizowahi kuzicheki Kwangu Mimi hii hapa top 15...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi asema wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kupigwa mawe na hilo halitakuwa uhalifu

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu. Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani. -- Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania NJOMBE: Watu 61 wadai talaka ndani ya miezi 6

    Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya talaka kwa ajili kuvunja ndoa zao katika Baraza la Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia November hadi December 20 mwaka huu. AyoTV imezungumza na Mwenyekiti wa Baraza hilo Muhimba Payovela...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

    Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka kama maagizo ya papa yalivyo agiza kwa viongozi wa kiroho kutekeleza agizo hilo. We need your help to continue and expand the Outreach ministry. Donate today As a married gay...
Back
Top Bottom