Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
1707382389581.png

"Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni unafiki"

Papa Francis amesema anaona kuna "unafiki" katika kukosolewa kwa uamuzi wake wa kuruhusu makasisi kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.

Baraka za wapenzi wa jinsia moja ziliidhinishwa mwezi uliopita na hati ya Vatican iitwayo Fiducia Supplicans (Supplicating Trust), lakini ulikumbana na upinzani mkubwa katika Kanisa Katoliki, hasa kutoka kwa maaskofu wa Afrika.

Francis aliliambia jarida la Kikatoliki la Italia Credere kuwa "daima" anawakaribisha wapenzi wa jinsia moja na waliooana tena baada ya talaka kwenye sakramenti ya kuungama.

BBC Swahili
 
Source - BBC
 
Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni unafiki"

Papa Francis amesema anaona kuna "unafiki" katika kukosolewa kwa uamuzi wake wa kuruhusu makasisi kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.

Baraka za wapenzi wa jinsia moja ziliidhinishwa mwezi uliopita na hati ya Vatican iitwayo Fiducia Supplicans (Supplicating Trust), lakini ulikumbana na upinzani mkubwa katika Kanisa Katoliki, hasa kutoka kwa maaskofu wa Afrika.

Francis aliliambia jarida la Kikatoliki la Italia Credere kuwa "daima" anawakaribisha wapenzi wa jinsia moja na waliooana tena baada ya talaka kwenye sakramenti ya kuungama.

Source - BBC
PAPA ANAKAZIA KWELI KWELI, WAAFRIKA NAO INAONEKANA WAMEGOMA KABISA KUTOA VINYEO,.. WAAFRIKA'EE KAZIENI HAPO HAPO WAZEE.
 
Attachments

  • 1707387256839.jpg
    1707387256839.jpg
    75 KB · Views: 4
Huyo mfanyabisahra myonyaji na yeye kajitambulisha kanisani kwamba mimi ni mfanyabiashara myonyaji naomba nipewe baraka?

Ni kwa nini mashoga wanataka watambuliwe kanisani kwa huo uovu wao wa ushoga.........kwani wakija kanisani kama waumini wengine wowote bila kujitambulisha kwa maovu yao nani atawafukuza.​
 
Yani Katoliki bora wabariki mashoga kuliko Thadei aliepinga waraka wa TEC,

Kani mama la mitume👌👌
 
Back
Top Bottom