wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    JamiiForums Tanzania Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga

    Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha. Ili tutembee kifua mbele kwenye Mzunguko wa Pili Kimataifa kwa hizo mechi tatu zilizobakia tunatakiwa tumshauri Kocha wetu...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa perfume za Tom Ford. Ipi ni the best kati ya hizi?

    1. Black orchid 2. Ombre leather 3. Oud wood Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja?

    Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja? Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa jezi ya upinde wa mvua kuunga mkono kampeni ya kuunga mkono haki za wapenzi wa jinsi moja na jamii ya LGBTQ+ ya Rainbow Laces ya Ligi...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania wanawake huwa mnaangalia nini nyuma wakati wanaume tukitimiza majukumu yetu wakati wa tendo?

    Vichuna vyetu, hii imekaaje kugeuka na kutukodolea macho njemba tukiwa kwenye majukumu yetu? Mnatutisha mjue. Ni wapi huwa tunakosea?
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mafuta gani ni mazuri kwaajili ya Body Massage kwa wapenzi?

    Natumai mu buheri wa afya. Nimeokota dodo la kishua pale Africa Sana. Katika chats za hapa na pale akadai sexual fantasy yake ni body massage kabla ya tendo la ndoa. Kwa kujimwambafy nikajikuta namuambia kuwa hivyo ndo vitu vyangu Jumapili hii mtoto anatinga Uswazi kumezeshwa Dudukee. Kuhusu...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  8. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face

    Katika Mahusiano kuna wale ambao hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face, Lakini linapokuja suala la sms, wanaweza kuandika kitabu.
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Acha kuwa na wapenzi wengi ili ujikinge dhidi ya saratani

    Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake na Uzazi Dkt. Lilian Mnabwiru wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amesema miongoni mwa sababu zinazoweza kueneza kwa haraka kirusi kinachopelekea saratani ya mlango wa kizazi ni watu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Soma pia: MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi...
  10. Grahams

    JamiiForums Tanzania Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika. Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kutana na wapenzi wawili wasioona na wakifanya kazi ya ushonaji

    Duniani kila mtu anapata wa kufanana naye na huu msemo kwangu mimi naendelea kuushikiria vizuri sana. Sasa leo tujifunze kitu kupitia simulizi nzuri sana ya wanandoa hawa wawili ambao wote ni vipofu lakini wameonyeshana upendo wa kweli na kazi wanayoifanya inafanan na wanafanya kwa juhudi zote...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Tatizo la Mahusiano na Usaliti Kazini

    Hello team. Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa siri sana, na nimegundua hilo. Pia, boss wake ameoa. Sasa anataka kumtema mpenzi wangu, ila huyo...
  13. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa muziki wa trance na Eletronic Dance tukutane hapa

    Mimi nimekuwa mpenzi na muumini mkubwa wa nyimbo za trance na electronic karibuni tushee vitu mbali mbali juu ya mziki huu mzuri
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

    kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za wasanii wa Kibongo za baada ya wapenzi kuachana zimejaa maneno makali ya jazba tofauti na za wazungu

    Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama ni wapenzi na mnafichiana simu basi hampendani

    Achana na hizi kauli kwamba usishike simu ya mumeo/mkeo ikiwa unataka kulinda penzi..hizo ni kauli za watu malaya au wasio waaminifu kwenye mapenzi yao.kimsimgi kama mnapendana na mwenzako inatakiwa hata akusaidie kuchart kwenye ma group funny kama ya classmate..yaani kama umechoka na unaona...
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Nilikua na safari ya Dar hadi Moro town kisha Ifakara na kurudi Dar, kwa kutumia Atenza. Mafuta (Diesel Tsh 80k) niliweka Puma ya Survey (jirani na Mlimani City) na kuanza safari pale kuelekea Morogoro. Njiani sikua na vituo zaidi ya kusimama JKT Mlandizi na Cate Hotel Morogoro. Barabara ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania TFF mnalitufanyia utapeli wa VAR wapenzi wa soka mnasingizia vibali wakati huko Mauritania VAR imeanza kutumika

    Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha ================== UPDATES Tumepigwa...
Back
Top Bottom