Wapenzi wa movies nina swali kidogo

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa kutakuwa na movie itakayoonyesha matukio ya Pedro Alonso or Berlin kabla ya tukio la money heist ya bank of spain, Netflix promised to release it on around 29 december 2023 yet i haven't see even its trailer, nataka kujua hii kama hii movie imetoka au bado pamoja na jina lake.....
Xie Xie.
 
Nenda kwenye uzi wa Series special kule zimewekwa hadi link za dubbed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom