Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,737
Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani.

--
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu.

Rais Ndayishimiye amesema uhusiano wa jinsia moja ni kama kuchagua kati ya Shetani na Mungu. Hata vitabu vitakatifu vya Mwenyezi Mungu vinakataa.

Mapenzi ya jinsia moja ni kinyume cha sheria nchini Burundi na adhabu yake ni kifungo cha hadi miaka miwili jela.

Mwezi wa 8 mwaka huu, watu saba walihukumiwa vifungo vya kati ya mwaka mmoja na miwili baada ya Mahakama katika mji mkuu wa kisiasa Gitega kuwapata na hatia ya kushiriki mapenzi ya aina hiyo.

PAPA: Tuwaache mashoga waje kanisani wapate baraka.


---
Burundi’s President Evariste Ndayishimiye launched a virulent anti-gay tirade on Friday, saying same-sex couples should be publicly stoned.

He also lashed out at Western countries that press other nations to allow gay rights or risk losing aid.

Homosexuality in Burundi, a conservative Christian country in East Africa, has been criminalised since 2009 with prison terms of up to two years for consensual same-sex acts.

Ndayishimiye, a Catholic, described marriage between same-sex couples as an “abominable practice”.

“Personally, I think if we see these kinds of individuals in Burundi, we should put them in a stadium and stone them. And it would not be a sin for those who do,” Ndayishimiye said in response to a question at a public event in the east of the country that was broadcast by Burundian media.

He also criticised Western countries that urge smaller nations to allow gay marriage or risk losing aid, saying: “Let them keep their help, let them keep it.”

Burundians living abroad who have “chosen the devil” and practise homosexuality should “not come back”, he added.

[A Ugandan man at the third annual LGBT pride celebrations in Entebbe, Uganda in 2014. Uganda in May adopted what has been described as one of the world’s harshest laws against homosexuality.

Homosexuality is illegal in many East African countries, which have a history of repression and stigmas against gay people, often encouraged by conservative Muslims and Christians.

Uganda in May adopted what has been described as one of the world’s harshest laws against homosexuality, prompting outrage among rights groups and Western powers.

In response, Washington has said it would remove Uganda from a key trade deal and has imposed visa restrictions on some officials, while the World Bank suspended new loans to the country.

The legislation is currently being challenged at Uganda’s constitutional court.

In March this year, Burundi charged 24 people with “homosexual practices” in a crackdown on same-sex relationships.

The move followed a call by Ndayishimiye for citizens to root out homosexuality and treat gay people as “pariahs”.

Ndayishimiye took power in June 2020 after the death of president Pierre Nkurunziza and has been lauded by the international community for slowly ending years of Burundi’s isolation under his predecessor’s chaotic and bloody rule.

But he has failed to improve a wretched human rights record, and the country of 12 million people remains one of the poorest on the planet.
 
Nah! That ain’t it.

Kuwa shoga si kosa la kumfanya mtu avunjiwe haki zake za kiubinadamu.
mbona wezi wakiiba kuku mnawaua kwa kuwachoma na matairi. hapo hawajavunjiwa haki za kibinadamu?

na wazungu watapambane nae mpaka wamuue au wamtoe madarakani.

hao wazungu mbona huwa hawapigi kelele kuusu wezi wakuku wanaouwawa?
 
Miafrika inatumia nguvu nyingi kupambana na trivial matters huku mambo ya msingi wakiyapuuza. Hapo huyo Rais anaonekana jembe wakati Burundi inanuka shida.

SSH akitaka mitanganyika isahau ishu ya maji na umeme na 2025 apite bila kupingwa afanye campaign against ushoga ishu ambayo haiaffect hata 0.00001% ya maisha ya mtanzania.
 
Huyu KIBWENGO WA BURUNDI anachochea watu kuuana wenyewe kwa wenyewe?

Hivi anajiita Rais? na anaongoza watu???? au anaongoza punda wenzake??

Ndo maana ana kidevu kigumu kama jiwe la kusagia.

Hauwezi kuwa na devu lenye mapele na majipu halafu ukawa na akili angalau za kunywea maji achilia mbali kuwa Rais!
 
Back
Top Bottom