Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
11,463
27,467
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
5,403
9,678
Mkuu

Rais hashiki silaha za kumuua mtu!

Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!

Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!

Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!

Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!

Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!

Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
31,323
33,040
Wakenya wako smart najaribu kuwaza tu kama wangekuwa hawana kadhia ya ukabila wangekuwa mbali kiasi gani ,naamini wangekuwa 5 bora kiuchumi Africa
Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.

Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.

halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.

Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
3,577
7,841
Si Tanzania Bara au Zanzibar, CCM haina uadilifu wala haiwezi kuaminika kusimamia uchaguzi uliokuwa huru na wa haki. Kupitia Tume na wasimamizi wa uchaguzi, wamejaa makada wake ambao wao walajua ni kufanya dhuluma yenye kuipendelea CCM.

Jeshi la Polisi nalo limejaa waovu wengi ambao hushiriki bila hata ya aibu yoyote ile katika matendo yaliyojaa ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi ili kuibeba CCM.

CCM na tume yake ya uchafuzi wana mikono michafu, wananuka uvundo, kwa vyovyote vile hawawezi kufananishwa na jinsi ya kusimamia uchaguzi kama unaondelea wa Kenya.
 
Bejamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
66,424
70,981
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Yule kule alipo anatakiwa afe tena
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
25,325
33,860
Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.

Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.

halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.

Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
Makarani wasensa hamruhusiwi kuingia na simu ukumbini we umewezaje?
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
20,396
43,899
Mkuu

Rais hashiki silaha za kumuua mtu!

Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!

Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!

Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!

Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!

Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!

Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Neno baya likimtoka mkuu wa nchi, iwe nuruni au gizani, ni baya kuliko shehena isiyo na idadi ya makombora hatari ikilengwa raia.
 
Kibua

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
467
1,153
Shida kubwa ya nchini cuba kuna kikundi cha watu/watawala wanaona wana stahiki ya kuongoza milele na chama chao.!

Hamna walichojifunza kwny uchanguzi wa Kenya, 2025 watafanya mambo yale yale waliozoea kufanya.! Na kama kawaida wananchi wa cuba wataishia kulalamika mitandaoni tu tena kwa kutumia VPN baada ya social media kuzimwa.!
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,444
3,883
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.

Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.

Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.

Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.

Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.

Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.

Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!

Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.

Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Manina. Baada ya kifo ni hukumu.

Yuko jehanum anaungua na wale aliowatanguliza akidhani yeye ataishi milele hajawakuta wao wako mbinguni wamepokelewa na mungu.

Unakumbuka haya:-
1647533701530.jpg
1647512773945.jpg
1647437506375.jpg
1647513007471.jpg
 
chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,374
5,858
Kuhusu swala la uchaguzi sio Magufuli peke yake wa kulaumiwa ni CCM kwa ujumla..

Zanzibar wanamkumbuka Kikwete katika uchaguzi wa 2015,Wanamkumbuka Magufuli kwa uchaguzi uliopita

CCM na janga la Taifa la Tanzania
 
jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
3,759
4,765
Mkuu

Rais hashiki silaha za kumuua mtu!

Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!

Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!

Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!

Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!

Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!

Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
CCM wajanja sana,wanajuwa wanawaoongoza wengi mapoyoyo,eti Sasa hivi ubaya wote waliofanya kipindi cha Magu,lawama zote wameamuwa kumtupia Mwendazake ili wao waendelee kudonyowa kibingwa!!!
 
60 Reactions
Reply
Top Bottom