Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,412
11,061
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.

Ni imani yangu sote tu buheri wa afya.

Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu,

Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha, kutoa Bure, kutodai.

Huyu Manzi alikuwa mama huruma wa kila mtu kwanzia masela wa kitaa, bodaboda, kazini kwake, madereva na makondakta daladala.

Alikuwa mwepesi sana wa kugawa namba Kwa kila mtu awaye yeyote yule akiomba namba hakatai.

Akili kubwa aliweza kushika namba za wanaume kichwani, kama sio namba nzima basi alikariri namba tatu za mwisho za kila mtu, au aliwasave wanaume kwa majina ya kike, au alisave namba juu ya namba au maruhani mchanganyiko wa herufi na namba au alama za uchuro.

Sikuwahi kujua kama kuna magenius wa kucheat duniani, huyu demu yeye shida yake ni kupigwa shoo tu, akae sehemu ale chips mishkaki, Chips kuku au kitimoto, haitaji kuhongwa ila yeye anauwezo wa kuhonga mwanaume.

Jamani kuna mademu wanakupa raha na karaha vyote Kwa usawa.

Pamoja na unyumbulifu wake wa kingoni, kanyimwa, figure, hana trako, hana uzuri wa sura, wala umbo, hana rangi ya hazards, hana smile, yupo kama mla ndumu vile.

Vibe kama lote wewe tupia tu ila hachoki, na akitoka hapo njiani akiombwa namba na appointment kama kawa anatoa.

Hatari na nusu haachi mwanaume yeye hanaga Ex katika Maisha yake.

Ukimpata raha kama zote ila mvumilie usiwe na wivu na usimchunguze, kubali kuwa sehemu ya mlo wa Cha wote wote.

Ntakuja na kisa Mwanaisha alovunja rekodi ya msalaba mwangaza mbingu
 
😃😃
Kwamba sura kama anapiga bange 😃😃chaeee..
Wewe mtoto mzuri leo umebambika, huyo mpiga shoo kanyimwa figure, sura, hata mwanya wa kuchonga hana, ila Ndoige za kitandani yule mwana Cha wote majini yake yako vizuri.
 
Wewe mtoto mzuri leo umebambika, huyo mpiga shoo kanyimwa figure, sura, hata mwanya wa kuchonga hana, ila Ndoige za kitandani yule mwana Cha wote majini yake yako vizuri.
Mleta mada kazingua kichizi mwanangu…dah🥺🥺anatuweka katika wakati mgumu kishenzi sisi flatscreen 😄😄
Ila fresh kizazi sana
 
Mleta mada kazingua kichizi mwanangu…dah🥺🥺anatuweka katika wakati mgumu kishenzi sisi flatscreen 😄😄
Ila fresh kizazi sana
Hahahaaa ila angalau wewe una sura na shepu imebalance na karangi ka chocolate.
 
Back
Top Bottom