wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  2. Kama Yanga SC tunajiamini na Kutamba Kutwa kwanini huko Cairo tunahaha Mechi yetu na Al Ahly Kesho Mashabiki wao Wasijaze Uwanja?

    Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote. Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE...
  3. Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

    Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili @ Sympathetic @ Empathetic MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza. Hivyo majambazi , wote ...
  4. Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

    #MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika. Hersi...
  5. Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

    Kila la Kheri National Al Ahly FC mechi yao ya mwisho ya CAFCL huko Kwao Weekend hii japo bado sijajua anacheza na nani.
  6. Kati ya Luis Josee Miquissone na Emmanuel Anold Okwi kwenye ubora wao unaenda nani?

    Wanasimba nIjibuni hili swali unaenda na nani kama wote wakiwa bora yaani yule Okwi wa moto na Miqussone wa moto.
  7. Kama wote tunashangaa, nani wa kuokoa jahazi?

    Nini mtazamo wako kuhusu hali hii Mdau?
  8. T

    Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  9. Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  10. G

    Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  11. Maishani mwangu hamna watu ninaowadharau zaidi ya wanaume wenzangu wasiohudumia watoto wao

    Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado. Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna sifa za kuwa mwanaume kamwe. Hapa siongelei wanaume wanaojua kwamba wamesingiziwa watoto lkn wale...
  12. DKt. Nchimbi: Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi, siku zao zinahesabika

    Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
  13. BBC: Wapinzani Afrika Kusini waagiza wanajeshi wao waondolewe DRC baada ya kuuawa kwa baadhi

    Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake. Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna...
  14. Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

    Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri...
  15. Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

    Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu. Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
  16. Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

    Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini. Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
  17. Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ninasikitishwa sana na kinachoendelea mitandaoni na kwenye midia mbalimbali, hususani kwa jambo hilo ambalo kwa uwingi wa wana Chadema, wamekuwa wakiwaita wananchi wanaomfuata makonda kwenye mikutano yake kuwa ni wajinga! Jambo hili ni kama halina mdhara sana na ni dogo pindi mtu akilitamka...
  18. TFF wanazidi kujipambanua kwamba Simba ni Kijana wao mpendwa

    Natoa kama Rai mashabiki wa Yanga hamna budi kuomba sana kwa ajili ya timu yenu maadui ni wengi mnoo mje na ndani ya uwanja na wanafanya kazi kwa kushirikiana kuhakikisha malengo yenu hayatimii. Adui kwa kwanza mkubwa wa Yanga ni TFF, TFF ipo kwa lengo la kuhakikisha yanga inaharibu lakini kwa...
  19. Wana Momba wakataa uzushi wa Mbunge wao

    Waswahili walisema msafiri alikiri "mwenda pole hajikwai" alaa akijikwaa haanguki na kama akianguka kuumia kwake ni kidogo tu. Usemi huu ni matokeo ya uzoefu wa safari ndefu ya maisha ya babu zetu walioishi miongo na Karne zilizopita nasi twauishi na kuakisi uzoefu wa maisha hayo kwakuwa hakuna...
  20. G

    Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…