Kama Yanga SC tunajiamini na Kutamba Kutwa kwanini huko Cairo tunahaha Mechi yetu na Al Ahly Kesho Mashabiki wao Wasijaze Uwanja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,605
108,978
Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote.

Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE kwani wana Simba SC Wachokozi na wenye Wivu nasi Wanahoji na Kuliongelea hili mno na kiukweli Wananikera hivyo nataka tuwanyooshe ili waachane na Kijicho chao dhidi yetu.

Na nawaambia wana Simba SC mliopo hapa JamiiForums kuwa Kesho Ijumaa ndiyo mtatujua Yanga SC kwani tunaenda Kuwafunga Al Ahly Goli 7 au 8 ili Wanyamaze na hakika Watatukoma.

Yanga SC Daima Mbele Nyuma Mwiko.
 
Kujaza uwanja kwa Al Ahly hakuhusiani na kipigo watakacho pokea.
Waarabu wenzao Usm Alger walijaza uwanja Wakarusha fataki uwanjani lakini walipokea kipigo na kuipigia makofi Yanga baada ya mechi kwisha.
 
Wana Simba SC mmetusikia wana Yanga SC lakini? Mwaka huu hakika mtatukoma kwa Ushamba ( Ungandamba ) wetu.
 
Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote.

Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE kwani wana Simba SC Wachokozi na wenye Wivu nasi Wanahoji na Kuliongelea hili mno na kiukweli Wananikera hivyo nataka tuwanyooshe ili waachane na Kijicho chao dhidi yetu.

Na nawaambia wana Simba SC mliopo hapa JamiiForums kuwa Kesho Ijumaa ndiyo mtatujua Yanga SC kwani tunaenda Kuwafunga Al Ahly Goli 7 au 8 ili Wanyamaze na hakika Watatukoma.

Yanga SC Daima Mbele Nyuma Mwiko.
20231218_170314.jpg
 
Hatujaanza kucheza leo kwenye uwanja uliojaa washabiki, huo uzoefu tunao.
 
Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote.

Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE kwani wana Simba SC Wachokozi na wenye Wivu nasi Wanahoji na Kuliongelea hili mno na kiukweli Wananikera hivyo nataka tuwanyooshe ili waachane na Kijicho chao dhidi yetu.

Na nawaambia wana Simba SC mliopo hapa JamiiForums kuwa Kesho Ijumaa ndiyo mtatujua Yanga SC kwani tunaenda Kuwafunga Al Ahly Goli 7 au 8 ili Wanyamaze na hakika Watatukoma.

Yanga SC Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Mdogo wangu Jenta, acha uchokozi. Kaka yako nipo kwenye mfungo wa Kwaresma kwa sasa. Halafu tangu lini Yanga ikawa na shabiki mbumbumbu na Popoma mbobevu kama wewe!!
 
Unataka upigwe ban ili usishuhudie humu timu yako ikishindwa kutinga robo fainali
Nipigwe BAN Mimi ninayekujibu Mchokozi Wewe wa Kutwa Kuniita Mgonjwa wa Akili ila Wewe uachwe? Nipo tayari nayo hiyo BAN na najua unataka Kunithibitishia kuwa Wewe ndiyo wala baadhi ya Moderators wenye Chuki Binafsi nami na Wivu kutokana na Umaarufu wangu na Mvuto wangu kwa Wengi hapa JamiiForums.

Pumbavu.
 
Una mvuto
 
Mvuto gani ulionao we choko
 
Back
Top Bottom