Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa Barani Afrika.

Hersi aliendelea kusisitiza, “ikumbukwe Al Ahly ndio timu yenye uwekezaji mkubwa sana tena inapofika hatua za mtoano katika michuano hii, huku Mamelodi wakiwa ni mabingwa AFL na sidhani itakuwa rahisi kwao kuishia robo au nusu fainali.

Maneno ya Rais wa Yanga, Eng. Hersi Ally Said kupitia mahojiano na Televisheni ya Al Ahly. #EastAfricaTV
 
Umewahi kusoma Fasihi mkuu

Hivi mlienda shule kusomea kitu gani?

Lugha aliyoongea Bwana Hersi inafundishwa darasa la sita na darasa la saba

Usipende kuchukulia kila jambo kama lilivyo inabidi uchanganye na akili zako binafsi

Kwa hiyo Ali Kamwe akisema watu waje uwanjani bila kuvaa nguo yaani uchi wa mnyama wewe utaenda bila kuvaa nguo?

Hiyo ni fasihi mkuu,Rudi tena shule ya msingi
 
Wewe ni mbumbumbu namba 1, huelewi mind games? Ulidhani angesema vinginevyo ili watukamie?

Hapo mtu anapewa cheo, kesho ananyooshwa kama mwenzie wiki iliyopita.
Hersi akili kubwa yule, huwezi kumuelewa kolo.
Na pia kagusia uwekezaji anadhani al ahly ni sawa na timu zetu ? Hapo kajibu kikubwa na kisoka Mamelody ni mabingwa Wa AFL..Aly Ahly ni mabingwa watetezi wa CAFCL lazma uwaheshimu wakubwa na wamewekeza zaidi

Mbumbumbu kaja mbio kuanzisha uzi
 
Sikiliza wee topolo, Al ahly hashindi mechi kwa kukamia. Maneno ya Hersi hayawafanyi Al ahly kuwakamia Yanga, ule ni uwezo wao ndo maana Hersi kawa mkweli.
Kukamia ni kama vile Ihefu inapocheza na Yanga.
 
Tulia wewe kolo, Ahly na uwezo wao walifungwa na bingwa wa shirikisho ambaye sisi tulimtoa jasho Usm Alger.

Halafu hii ni mechi ya waliokwisha kufuzu, hamishieni nguvu zenu kwenye kutafuta nafasi ya robo fainali tafadhali.
 
Na pia kagusia uwekezaji anadhani al ahly ni sawa na timu zetu ? Hapo kajibu kikubwa na kisoka Mamelody ni mabingwa Wa AFL..Aly Ahly ni mabingwa watetezi wa CAFCL lazma uwaheshimu wakubwa na wamewekeza zaidi

Mbumbumbu kaja mbio kuanzisha uzi
Unajua makolo walivyoaminishwa wanaamini ni kweli kabisa level zao ni al ahly na sundown,pa1 na mafanikio ya uwanjani ya vilabu vyetu bado tuna mengi ya kujifunza kwa kwa miamba kama al ahly
 
Back
Top Bottom