wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeifahamu Maabara ya kupima na kugundua magonjwa ya wanyama jijini Mbeya?

    Kama kichwa kinavyojieleza!! Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali! Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi na wataalamu wetu hawa wa "darasani" lakini hakuna maendeleo yoyote!Nilipenda nijue mifugo yangu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

    Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake. Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa na fuvu linalodhaniwa kuwa ni la Binadamu na vipande vya ngozi wanyama pori kwenye begi la mgongoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha mwezi Januri,2024 tumefanikiwa kuendesha Operesheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma ambapo katika misako hiyo tarehe 07.01.2024 katika kijiji cha Nahoro, Kata ya Luegu Wilaya ya Namtumbo...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wa kufugwa

    Wakuu Tumekuwa tukifuga sana wanyama majumbani mwetu kwa miaka mingi hasa jamii za kiafrika. Ingawaje tumekuwa tukiwatendea unyama uhuni wanyama tuwafugao. Hapa nitaeleza kwa ufupi niliyoyajua na kuyaona kwa wanyama wa nyumbani hasa wafugwao na tabia zao ambazo ni very rare kuziona ..! PUNDA...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

    John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
  6. R

    JamiiForums Tanzania COVID 19 iliyotufanya tuwahudumie wapendwa wetu kama wanyama, unapitisha chakula chini ya mlango kukwepa maambukizo. Tunamshukuru Mungu

    Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao. Tulikatazwa kwenda kijijini desemba kwa madai kwamba tunapeleka magonjwa, wazee wetu wakawa na hofu kubwa juu...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

    Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana. Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba labda na wenyewe wanaweza kua na rafiki damudamu mpaka akamsaidie? Mfano kama jinsi kundi la nyumbu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ngenga makazini haziwezi kuisha. Binadamu wana roho mbaya kuliko wanyama

    We piga kazi nenda zako home. Kula zako Kangala changanya na Ambiace. Lala fofofo Asubuhi piga kimoja cha burudani, oga nenda kapige kazi.
  9. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

    Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi. Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni. Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani? 1. Mti aina ya STAFELI 2. POPO...
  10. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Wanyama wanaotumiwa sana na wachawi

    Mi napenda sana mbwa, mbwa ni rafiki wa binadamu, mbwa ni wanyama poa sana, wanapenda sana kuwa na uhusiano wa karibu na binadamu, mbwa ana hisi hatari mapema sana na anaweza kukusaidia kweny ulinzi. Wanyama wengine kama paka ni jau, unaweza dhani unafuga paka kumbe unafuga mtu. Hivi kwann...
  11. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Kwanini baaadhi ya koo hujifananisha na wanyama?

    Sisi watoto wa mjini kuna mengi hatuyajui, mnaoelewa mtumegee na sisi. Wengine hujifananisha na mbwa, wengine chui, wengine ng'ombe wa aina fulani. Na kuna masharti juu ya wanyama hao ambayo wahusika wanatakiwa kuyafuata, wanapokiuka hupata madhara makubwa! Mfano kuna jamaa namfahamu, mwili...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Askari wanyamapori kwenye Maeneo yasiyo na vivutio na wanyama

    "Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa 2023-2024 wanunuzi wameongeza Uzalishaji wa tani laki 214 ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 900" -...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Muingiliano Mkubwa wa Binadamu na Wanyama Watajwa chanzo cha Magonjwa

    Waziri Mhagama: Muingiliano Mkubwa wa Binadamu na Wanyama Watajwa Chanzo cha Magonjwa Imeelezwa kuwa mwingiliano mkubwa wa shughuli za kijamii na kiuchumi, mwenendo na mifumo ya maisha na mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi kumekuwa na ongezeko la magonjwa yanayoibuka kutokana na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wachawi kutumia wanyama wanafanya kile wafuasi wa Mungu walichoshindwa kufanya

    Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde. Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa. Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kupiga na kutesa wanyama wasio na hatia wala akili ni kiashiria moja wapo cha kuwa na upungufu wa akili (Mbwiga)

    Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
  17. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA): Hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu

    DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
  18. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Napataje Leseni ya kufuga wanyama pori

    Hivi nikitaka kufuga mnyama wowote pori Tanzania ikiwa nakaa naye mw na ulinzi mkali bila kuhatarisha mtu yoyote na majirani; utaratibu upoje?
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tuburudike na kujifunza kwa vituko na tabia za wanyama, ndege na wadudu

    UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani. Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za wanyama tuliona pamoja na vituko vyao ambavyo huwa ni burudani kwa binadamu na watalii kutoka nje.Na vile...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
Back
Top Bottom