wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

    Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu. Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii. Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena. Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini? Nchi inauzwa kwa waarabu.
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwa kugawa wanyama wetu tumeuza upekee wetu. Tumebaki na nini?

    Moja ya jambo muhimu katik biashara ni upekee wa bidhaa yako. Watu hawaji kununua kwako bidhaa au huduma kwa sababu ya huruma, ni kwa sababu una kitu wanachohitaji na unakitoa kwa ubora kuliko washindani wako. Kwa miaka kadhaa huko nyuma Tanzania tumetokea kugawa wanyama wetu kwa mataifa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

    Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke. Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je roho za mwanadamu na wanyama huweza kuwa na ufahamiano?

    Mbwa huyu kwa jina la Bryan amekuwa na matendo ya kustaajabisha huko uingereza toka waliokuwa wanafamilia wenza kufariki kwa ajali amekuwa akifika kwenye kaburi kwa miaka miwili mfululizo bila kuchoka na kupumzuka hapo kwa nusu saa na kuondoka zake, je katika ulimwengu wa Kiroho huwa tuna...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Wanyama (TVA) walaani uteketezaji wa Vifaranga 50,000 wa Kuku

    Chama cha Madaktari wa Wanyama Tanzania (TVA) kimetoa taarifa ya kupinga na kuonesha kusikitishwa kwake juu ya kitendo cha Kampuni ya Uzalishaji Vifaranga wa Kuku ya Kibo Poultry kuteketeza Vifaranga 50,000 hadharani kwa madai ya kukosa soko. TVA wamesema pamoja na kutambua matakwa ya Kanuni za...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume ni wanyama sana na haipendezi

    Habari za jioni Mimi pia ni mwanaume lakini kuna matukio ambayo wanaume wenzangu wana yatenda yanaumiza sana moyo. Nilibahatika kumuhudumia client mmoja leo kati maongezi yetu ndipo alipo nihadithia history yake kwa urefu sana kiasi kwamba siwezi kumaliza kusimulia yote ila nitaipunguza yasiyo...
  7. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi wanyama walimfanya nini Mungu?

    Bahamas! Kwasisi binadamu hapa duniani, chanzo cha kuteseka na maumivu yote tutamlaumu babu yetu Adam ambaye alikosea kula apple kule bustanini. Sasa kwa wanyama, wao kosa lao ni nini? Kwanini swala aliwe na chui? Kwanini Nyumbu aliwe na Simba? Kwanini Pundamilia wakose majani? Kwanini Kuku...
  8. aise

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna wanyama ukiwagonga hupati kesi?

    Habari wakuu, kuna jambo nimelisikia mara kadhaa watu wakisema, kuwa kuna baadhi ya wanyama au ndege ukiwagonga wapo ambao unashitakiwa na wapo ambao hakuna kesi ila kibinadamu unamalizana tu na mmiliki. Kwa mfano ukigonga bata au kondoo, hapo kesi ipo na itafika mbali. Ila kama utamgonga...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin atafuta mbinu nyingine kwa kutuma viungo vya wanyama kwenye balozi 5 za Ukraine Ulaya

    Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu.... Ukrainian embassies in at least five...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 90% ya 'Antibiotic' zinatumika kutibu wanyama badala ya Chanjo Tanzania

    Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu amesema jijini Dar es Salaam kuwa takwimu zinaonesha asilimia 92...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

    Askari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili. Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa. Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yaongoza kwa idadi ya Nyati Afrika

    Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili. Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Msitu wa pande ugeuzwe kuwa mbuga ya wanyama

    Naaam Ili kuchochea utalii dsm pamoja na kuongeza kipato Wawekwe wanyama wasio na madhara kama Twiga pundamilia mbuni Lazima Ifikiwe tuwe wabunifu kama hoteli moja huko kigamboni inaweka twiga na pundamilia hii msitu wa pande inashindikana vipi Watu wa maliasili na tanapa tazameni hili...
  14. Tsh

    JamiiForums Tanzania Endapo baadhi ya mataifa yangekuwa ni wanyama wa porini

    USA kitabia angefanana na Simba na comodo dragon. Ni hatari, jasiri, anavamia, anaumiza na anaogopwa kama simba, pia ana tabia ya kuvamia na kukung'ata akuachie sumu na kukufuatilia mpaka udondoke kama comodo dragon. China kitabia namfananisha na Hyena. Fisi ni hatari, anavamia...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rwanda inaiba wanyama hai kutoka mbuga ya Virunga, Congo

    Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola. Ifahamike, kundi la waasi la M23 ndilo linaendesha shughuli zake za uasi ndani ya mbuga la Virunga huko Kivu ya Kaskazini...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanyama wametajwa hapa sijui wanapatikana Nchi gani

    Mjombakaka, guruguru etc MAMBO YA WALAWI 11 Vyakula halali na haramu 1. BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, 2. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi. 3. Kila mnyama mwenye kwato katika miguu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Samaki wanaolishwa kwa chupa waonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China

    Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Nimesomea Animal Health and Production

    Habari, naitwa Hamis, Nimehitimu mafunzo ngazi ya diploma kozi ya Animal Health and Production. Naomba mwenye nafasi ya kunitafutia mwenzenu kazi ya kujiitolea kwanza kwenye. Makampuni yanayo relate na Animals ntashukuru sana. Simu namba 0627544910. Location Bagamoyo Pwani
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kurithi viasili kupitia maziwa ya wanyama

    Najaribu kufanya kautafiti; Kuhusu maziwa ya mama kwa mtoto. Inaonekana, katika unyonyeshaji, huwa kuna vitu hutoka kwa mama kwa njia ya maziwa, ambavyo mtoto anarithi kiubinadamu. Sasa najiuliza; tunapowapa watoto maziwa ya ng'ombe, mbuzi n.k ina maana watoto wetu, wanaenda kurithi viasili...
  20. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
Back
Top Bottom