wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

    Ikitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa 1 Simba Huyu ni mnyama mkali sana Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze kumfukuza Simba anaogopa ujasiri wa kiumbe yeyote atakimbia 2. Chui Chui huishi mafichoni, chui hukaa...
  2. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

    Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa tunaowafuga majumbani mwetu na kilichonishangaza ni kugundua nao wana lugha yao ya kibonyoli"...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ifahamu "TAPETUM LUCIDUM" kinachofanya macho yang'ae usiku kwa baadhi ya wanyama na ndege kama bundi

    Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
  4. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Endapo Punda Atang'ata Mmea ( Mfano Mahindi) , Hauwezi Kuota Tena

    Hapa kijijini mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu wanyama jamii ya Punda namna ya ulaji wa mimea, mfano "mhindi" ambao umeng'atwa na punda huwa hauoti tena, tofauti na unapong'atwa na wanyama wengine kama ng'ombe, kondoo au mbuzi, na wanakijiji wamefika mbali zaidi na kusema labda wanyama aina ya...
  5. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
  6. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ziwa Natron haligeuzi wanyama wanaokunywa au kuogelea maji yake kuwa Mawe bali huwakausha na kuhifadhi mizoga hiyo bila kuharibika

    Je, ni kweli Ziwa Natron linawageuza wanyama wanaokwenda kuogelea ndani yake kuwa mawe?
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

    Wakuu, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi. Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, wanyama wana hisia na silika?

    Wana silika za takafuri? Silika za utafiti? Silika za kushangaa?
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya wanyama wanaoonekana wakiwa mbugani imetengenezwa

    Salaam wana JamiiCheck Hii picha inanipa ukakasi kuitofautisha kama imetengenezwa na Akili mnemba au ni ya kweli, wataalamu wa masuala haya naomba msaada wa kupata uhalisia wa picha hii tafadhali.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukigonga Wanyama hawa faini milioni 98

    Inawezekana ulikuwa unajiuliza maswali kuhusu ni kiasi gani cha faini utachajiwa, endapo ikatokea bahati mbaya ukagonga mnyama kwenye barabara zinazokatiza kwenye hifadhi. Basi hapa ni baadhi ya wanyama na faini utakazochajiwa endapo ikitokea umesababisha ajali hiyo, ambazo zinaweza kufikia...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama na binadamu uwa watulivu wanapong'atwa au kushikwa shingoni?

    Kukamatwa au kung’atwa shingoni kunaweza kusababisha utulivu kwa wanyama, na hata kwa binadamu, kutokana na sababu kadhaa za kisaikolojia na kisaikolojia: 1. Kusisimuliwa kwa mshipa wa fahamu (Neva) ya Vagus Neva ya vagus inapita kwenye shingo na ina jukumu muhimu katika mfumo wa...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Takwimu za wanyama wafugwao ulimwenguni

    66% ya kaya nchini Marekani zinamiliki wanyama kipenzi. Kaya za Marekani zina takriban jumla ya mbwa kipenzi milioni 62 na paka milioni 37. Samaki wa majini wa maji safi hushinda tuzo ya ya wanyama weng kwani kuna jumla ya milioni 139.3 nchini AMerika. Takriban 2.5% ya kaya za Marekani zina...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  15. Abas s baqar

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tembo akilala kama wanyama wengine hatoweza kuamka kwasababu ya uzito

    Je ni kweli mnyama Tembo huwa hawezi kulala kama wanyama wenzie na akilala kama wanyama wenzake hupelekea kifo kwasababu ya uzito wa mwili wake
  16. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana tabia zinazofanana na wanyama hawa

    Mhadhara - 42: Kuna watu katika jamii wana tabia zinazofanana na hawa wanyama/wadudu. 1. PIMBI (Harakati zisizo na maana) - Wapo watu ambao wanaweza kufananishwa na pimbi. Ukikutana nae barabarani yupo race utafikiri anakwenda kuokota burungutu la hela, lakini hana anachokiwahi, busy for...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kasema nyani/sokwe/tumbiri wanajifanya hazimo ili wasiitishwe kulipa kodi!

    Hii mijamaa ina akili sana duuh, ebu tazama
  18. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini vilikataza baadhi ya wanyama kuliwa?

    Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa. Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanyama hawa kwenye ukwasi na starehe na maruhani ya lugha

    Kama unadhani maruhani yapo kwa viumbe hai utakuwa umekosea sana.. Maruhani yapo pia kwenye vitu visivyo na uhai na lugha pia Hebu waza kwa makini usahihi wa sentensi kama hizi 1. Maji yameenda kuchotwa 2. Nimemkuta hayupo Na watu daily wanazitumia bila shaka kabisa... Sasa kuna hili la wanyama...
Back
Top Bottom