Kama kichwa kinavyojieleza!!
Ninaomba anayeifahamu maabara ya kupima magonjwa mbalimbali ya wanyama kwa jijini Mbeya ninaomba mnijuze tafadhali!
Nina viumbe hapa wameletewa madawa Mara nyingi na wataalamu wetu hawa wa "darasani" lakini hakuna maendeleo yoyote!Nilipenda nijue mifugo yangu inaumwa nini na tiba ni nini!Nimechoka kufanyiwa majaribio!
Hata hivyo nimegundua kuna tatizo kubwa kwenye elimu wanayopewa wataalamu wetu wa mifugo!
Huenda kinachokutwa field ni tofauti na kinachofundishwa darasani!!