Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
17939_img20240222.jpeg

Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.

Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila sikuona mtu yeyote nikapuuza, baada ya muda naona kama kuna kitu kakizingira anakidadisi kwa muda mrefu huku akiwa anajaribu kukigusa kwa tahadhari, nikapuuza

baada ya muda kidogo naona paka yupo bize anakipiga piga na mkono, kwenda kuangalia karibu nakuta ni vita kali sana baina ya paka na nyoka lakini paka alikuwa kaimudu vema mno, nyoka alikuwa anapigwa sana kucha za kichwani, paka anaweza kumsogelea nyoka ana kwa ana lakini huwezi amini nyoka kwa speed yake ya kudonoa hakuweza hata kugusa sharubu za paka, yani paka ana kasi kubwa mno ya kukwepa kiasi cha kunishangaza.

Sikujua kwamba paka wana uwezo mkubwa kiasi hiki.
 
nyoka alikuwa anapigwa sana kucha za kichwani lakini akijaribu kujibu mapigo, paka anakwepa kwa speed kubwa sana kiasi cha kunishangaza.
Usiku hua wananoa kucha balaa kwenye mti utasikia tu chwaa chwaaa chwaaa kwenye mti ukiangalia unakuta paka ananoa kucha wanaoishi na paka wanalijua hili nimesema 'paka' sijasema 'Manunu' naomba tuelewane
 
Nilisimuliwa na mtu ninaemuamini, ila muhusika hakufa lakini alijeruhiwa sana usoni. Na pia nilisoma sifa za paka. Ni kiumbe hatari anapotaka kujihami kutokana na hatari iliopo mbele yake.
Sababu ya kumkata mkia ilikuwa nini haswa?
 
View attachment 2911695

Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.

Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila sikuona mtu yeyote nikapuuza, baada ya muda naona kama kitu kinamrukia paka lakini anakipiga piga, kwenda kuangalia karibu nakuta ni vita kali sana baina ya paka na nyoka lakini paka alikuwa kaimudu vema mno, nyoka alikuwa anapigwa sana kucha za kichwani lakini akijaribu kujibu mapigo, paka anakwepa kwa speed kubwa sana kiasi cha kunishangaza.

Nyoka huyo nilimkanyaga na kumponda sana kichwa

Sikujua kwamba paka wana uwezo mkubwa kiasi hiki
Dawa ya nyoka pia fuga wale sisimizi wakali. Chatu anaomba poo
 
Wheres the picture of the cat
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Kwanini unaua nyoka? Ulitakiwa kumwadhibu huyo paka wako kwa kutaka kumuua nyoka. Ulitakiwa pia kumwondoa nyoka na kumrudisha kwenye mazingira ambayo hatakudhuru na wewe hutamdhuru.

Ukiua wanyama unaharibu Ecosystem.

Halafu inaonekana hapo kwako unafuga panya pia kwakuwa kama umeamua kufuga paka basi panya wanasumbua. Pia nyoka hawezi kuja bila sababu lazima ali detect chakula hapo (panya).
 
nyau ni safi sana. also dogs are nice. Uumbaji wa Mungu ni mkamilifu sana. "Tazama kila alichokiumba ni chema sana" . MWANZO 1:31.

YESU NO BWANA NA MWOKOZI
 
“Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.”
— Mwanzo 1:31 (Biblia Takatifu)
 
View attachment 2911695

Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.

Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila sikuona mtu yeyote nikapuuza, baada ya muda naona kama kuna kitu kakizingira anakidadisi kwa muda mrefu huku akiwa anajaribu kukigusa kwa tahadhari, nikapuuza

baada ya muda kidogo naona paka yupo bize anakipiga piga na mkono, kwenda kuangalia karibu nakuta ni vita kali sana baina ya paka na nyoka lakini paka alikuwa kaimudu vema mno, nyoka alikuwa anapigwa sana kucha za kichwani, paka anaweza kumsogelea nyoka ana kwa ana lakini huwezi amini nyoka kwa speed yake ya kudonoa hakuweza hata kugusa sharubu za paka, yani paka ana kasi kubwa mno ya kukwepa kiasi cha kunishangaza.

Sikujua kwamba paka wana uwezo mkubwa kiasi hiki.
Hata kuku huua nyoka na kuwala, ukitaka kumchinja kuku wa kienyeji usimkamate na kuchinja, mfungie ndani kwa siku tatu siku ya nne ndipo umchinje.
 
Back
Top Bottom