wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Behind the Beat: Jinsi G-Funk Ilivyozaliwa Katika Wimbo Wangu.

    " I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it. Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code. "Uh uh uh uh uh uh uumh Uh uh uh uh uh' u' umh Uh uh uh uh uh uh uumh" start with my mouth Kick- "uh"...
  2. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Habari ndugu zangu... nimerudi tena... Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya...
  3. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 30 na mshahara wangu ni 250k je nitaweza kutoboa?

    Wakuu na wasilimu sana ! Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa). Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli...
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisukuma kitandani kisa nimepanda miguu michafu

    Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji...
  5. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu amefumaniwa usiku wa saa tatu na mume wake

    Wakuu vip hapo Nimepewa taarifa mbaya San kwamba jana majira ya saa tatu za usk jirani angu alimpost mchepuko wake aje ampige shoo fupi nje ya choo, choo Cha nje ya public Dad yule ni mpole sna jmn siku Dhani kama na yey angeweza kuwa na tabia mbaya ,binafsi niliwai mtaka lkn bas nikauchuna...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mama: Mapigo ya Moyo Wangu, Mwanga wa Njia Yangu

    Leo ni siku ya kuadhimisha malaika wa duniani. Mama si jina tu; ni neno lililojaa dhabihu, uvumilivu, na upendo usio na masharti. Tangu sekunde ya kwanza nilipoanza kupumua, ulikuwa hapo. Ulinibeba si tumboni tu kwa miezi tisa, bali unanibeba moyoni mwako kila siku ya maisha yangu. Nakumbuka...
  7. nyamva

    JamiiForums Tanzania Nirejeshee mziki wangu

    Salaam alyeikum wandugu, mimi ni mpenzi wa mziki kiujumla. Niko Mkoa wa Mwanza ,sasa hivi Karibuni nilinunua sound bar ya JBL Wat 500 nimeitumia miezi 8 Tu Ile bar ikawa inakata Moto. Nimeipeleka Kwa fundi kifupi anasema haitengenezeki!!! Sasa nimekuja mbele yenu kikiwa na maombi yafuatayo; 1...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye biashara ya duka la nguo

    Wakuu leo nimeona niandike uzoefu wangu mdogo kwenye hii biashara ya duka la nguo. Huenda ikamsaidia mtu fulani humu atakayesoma uzi. Kwanza kabisa hii biashara sikuwahi kuota ipo siku nitaifanya kwa sababu nilikuwa siielewi na pia kuiogopa kwa sababu marafiki zangu walikuwa wakianzisha na ndani...
  9. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, mifumo ya TRA yote website ni IDRAS iko offline au shida iko upande wangu?

    Nimeona nilete hapa maana tangu asubuhi leo kila ninapotaka kuingia kwenye tovuti ya tra pamoja IDRAS sipati access kuna shida huko TRA TRA Tanzania
  10. technically

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo nimetonyeshwa kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona, Moyo wangu unavuja damu

    Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana. Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa nimeanza kuyasahau
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kumtoroka mwajiri wangu bila kumuaga

    Huyu mwajiri wangu,tuna mkataba wa mwaka mmoja. Mshahara anatoa tarehe 50 Mshahara wenyewe mpaka mpigane ngumi ndio anatoa. Ana matusi balaa. Nataka nimtoroke..kuna madhara yoyote?
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha damu na aliyekuwa mpenzi wangu kinanitesa, sijui hata nifanyaje kujinasua na maagano

    Habari zenu Wakuu! Nina jambo ambalo linanitesa kwa muda sasa baada ya kupita kwenye mahusiano ya nyuma ambayo niliyaona kuwa ni kila kitu kwangu. Wakati ule tulikuwa vijana, damu inachemka, na tuliamini kuwa upendo wetu ulikuwa wa kipekee kuliko wa mtu mwingine yeyote hapa duniani. Katika...
  13. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Siku ya Pili tu Jamaa nilimpiga IGNORE na sijam-UNIGNORE mpaka leo, do you know why? Usicheke maana hii haichekeshi

    Forget. Kifupi ni kwamba, Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga kaabisa how comes? Kifupi ni kwamba, JF tupo watu wa dizaini nyingi, watu wenye mawazo chanya na hasi...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

    Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani Mbwa ni mlinzi mwaminifu Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Iani Dialo from kenya Radio presenter wangu Bora wa muda wote huyu jamaa ana IQ kubwa sana.

    Aliwahi kufanya kazi EA redio katika kipindi cha EAST AFRICA DRIVE ndinga mpya town akiwa na David rwenyagira. Jamaa ana madini sana.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo na mtazamo wangu Lissu atakapochukua madaraka 2055

    1. Mambo yatakuwa mazuri, kama anavyosema Sasa hivi. Lakini Hali hiyo itadumu kwa miezi 10 tu. 2. Baada ya mwaka 1, vyama vingine (demokrasia) vitaanza kubinywa.......vitaanza kulalamika. 3. Baada ya miaka mitatu, mijadala ya kubadilishwa katiba na kikomo Cha uraisi itaanza bungeni (kama kawa...
  18. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  20. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Habari ndugu... Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka.. Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu... Kiufupi...
Back
Top Bottom