Nirejeshee mziki wangu

Nirejeshee mziki wangu

nyamva

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
245
Reaction score
158
Salaam alyeikum wandugu, mimi ni mpenzi wa mziki kiujumla. Niko Mkoa wa Mwanza ,sasa hivi Karibuni nilinunua sound bar ya JBL Wat 500 nimeitumia miezi 8 Tu Ile bar ikawa inakata Moto. Nimeipeleka Kwa fundi kifupi anasema haitengenezeki!!! Sasa nimekuja mbele yenu kikiwa na maombi yafuatayo;

1. Kwa mwenye bar peke yake na Hana matumizi nayo naomba tufanye biashara
2. Kama kuna fundi mtaalamu wa hizi aje inbox tuyajenge
3. Napenda kufahamu kama woofer hii mzito unaweza kubadilishwa Kuwa spika ya kawaida
 
Watu wa mwanza hamfai mlimwacha comrade akafa kisa 8k bora hata hilo bar lako life tu. Soundbar ya malaki mnamiliki afu mkamuacha jamaa. Watu wa mwanza mnafeli wapi? Kwani haikuwa na warrant uwarudishie ulikonunua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom