Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,018
Reaction score
1,051
Habari ndugu zangu... nimerudi tena...
Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa

Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya kuondoka kwangu,,,alikaa kwa Mama yake siku Moja tu akamtoroka Mama yake,,,akaenda kufanya kazi,,,na hayo maelezo alinambia huyo Mama MKwe,,, kwamba Mwanae amemtoroka anasikia amepata kazi mahala anafanya kazi...,,,
Mimi nikasema sawa tumuache afanye kazi...

Baada ya Siku kama 5 kupita...nikawa napigiwa Simu na huyo MKE wangu akiwa ananisalimia....,, Kuna muda nilikuwa napokea Simu zake Kuna muda nilikuwa naziignore... Uzuri alipokuwa ananitafuta ndo nilikuwa nampokea...
Ilifika kipindi nikawa sipokei,,,Wala kumjibu sms zake...

Wakati wa maongezi na yeye alikuwa ananiambia kuwa amepata kazi ya kuhudumu kwenye Hotel mahala wilaya nyingine,,kazi anayofanya anataka aifanye kwa Mwezi miwili hivi aachane nayo...mimi nikawa namjibu sawa...ni vyema endelea...yaaani kiufupi nilikuwa simpapatikii kwa lolote,,,maana Kuna muda alikuwa ananitumia picha zake akiwa kazini ,,kwa njia ya Whatsapp kwa kutumia màrafiki zake... mimi nikawa Wala sijali.. nafanya kama sijaona

SAsa imepita Mwezi 1 na Nusu,,, alinipigia Simu na kutaka tuonane Kuna jambo anataka tuzungumze ana kwa ana... mwanzoni nilikuwa namkwepa ... Baada ya kunisumbua sana nikamruhusu tuonane...s
Alifunga safari Wilaya nyingine aliyokuwepo kuja Nilipo..
Nilitafuta sehemu tulivu..tofauti na Nyumbani kwngu...akaja nikaonana nae...
Mambo aliyonieleza..

1.Anaomba msamaha kwa aliyofanya.. alitumia jaziba kuondoka,,,hakutaka kujishusha
2.Amegundua umuhimu wangu baada ya kuwa Mbali namimi
3.Anataka mtoto apate malezi ya Baba na Mama
4.pia ameona hata nikisema simtaki tena tuachane,,,akaenda kuolewa kwingine ,Hataki kuwa na matabaka ya watoto,,kila mtoto na Baba yake,,,Anaona sio nzuri kwenye familia,,
5.yuko tiyari kwenda kwa wazazi,, wote wa pande mbili,,, kuwaomba msamaha kwa mambo yote...na maamuzi aliyofanya hapo mwanzo...

Baada ya kusema hayo... ameniambia anarudi huko anapofanyia kazi ,,akamilishe vilivyobaki ,,,alipwe na posho yake ya Mwisho... aachane na kazi hiyo ,,,aende kwa Wazazi wangu...baadae na Wazazi wake...kuwaomba msamaha,,,Yuko Tiyari kurudi kwenye familia yake kulea mtoto wake...Muda aliyokuwa Mbali na familia Amegundua umuhimu wangu na ameahidi hatorudia..

Ndugu zangu...mnanipa ushauri Gani...
 
Alishakuweka kwenye Mfumo wake kitambo sana, ndio maana bado unahangaika, katokea kuliwa wazi wazima akarudi na utampokea, Mzee huna chaguo tena mpaka hapo
 
Kuna kipindi magufuri alisema hivi. Alipopata urais alimtaka kikwete amsaidie kuchagua mawaziri. Kikwete akamwambia ukiwa rais huchaguliwi waziri na mtu we chagua mwenyewe. TUJE KWENYE HOJA YAKO. UKWELI NI HUU KWENYE SUALA LA MAHUSIANO HASA NDOA WAMANDOA NDIO HUWA WANAJUANA UZURI NA UBAYA WAO NA KIWANGO WANACHOWEZA KUVUMILIANA. WEWE NDIO UNAJUA UKUBWA WA KOSA NA UZITO WA THAMANI WA KUISHI PAMOJA. KAMA KOSA NI DOGO KULIKO THAMANI YA KUISHI PAMOJA WEWE NDIO UNAJUA. ILA KAMA KOSA NI KUBWA KULIKO THAMANI YA KUISHI PAMOJA PIA WEWE NDIO UNAJUA. PIMA MOYO WAKO NA UFANYE MAAMUZI KWA BUSARA
 
Rudiana nae tu ndugu yangu coz tayari kashajua kuwa misamba hawezani nayo. Ila kabla hajarudi ahakikishe ametimiza yote aloyasema.
tangazo kwa wote.
Kuna watu humu mtu ukipost wanakuja na matusi na kibaya zaidi wanakutukania mzazi wako ni kama wao wamezaliwa na minyama. Sa ukikutana na watu kama hao kwene uzi wowote mquote afu unitag tumrushie simu chooni ama tumharibie comp kimiujiza. Watatu tayari cjui n bundle hawana coz they are nowhere to be seen.
 
Habari ndugu zangu... nimerudi tena...
Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa

Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya kuondoka kwangu,,,alikaa kwa Mama yake siku Moja tu akamtoroka Mama yake,,,akaenda kufanya kazi,,,na hayo maelezo alinambia huyo Mama MKwe,,, kwamba Mwanae amemtoroka anasikia amepata kazi mahala anafanya kazi...,,,
Mimi nikasema sawa tumuache afanye kazi...

Baada ya Siku kama 5 kupita...nikawa napigiwa Simu na huyo MKE wangu akiwa ananisalimia....,, Kuna muda nilikuwa napokea Simu zake Kuna muda nilikuwa naziignore... Uzuri alipokuwa ananitafuta ndo nilikuwa nampokea...
Ilifika kipindi nikawa sipokei,,,Wala kumjibu sms zake...

Wakati wa maongezi na yeye alikuwa ananiambia kuwa amepata kazi ya kuhudumu kwenye Hotel mahala wilaya nyingine,,kazi anayofanya anataka aifanye kwa Mwezi miwili hivi aachane nayo...mimi nikawa namjibu sawa...ni vyema endelea...yaaani kiufupi nilikuwa simpapatikii kwa lolote,,,maana Kuna muda alikuwa ananitumia picha zake akiwa kazini ,,kwa njia ya Whatsapp kwa kutumia màrafiki zake... mimi nikawa Wala sijali.. nafanya kama sijaona

SAsa imepita Mwezi 1 na Nusu,,, alinipigia Simu na kutaka tuonane Kuna jambo anataka tuzungumze ana kwa ana... mwanzoni nilikuwa namkwepa ... Baada ya kunisumbua sana nikamruhusu tuonane...s
Alifunga safari Wilaya nyingine aliyokuwepo kuja Nilipo..
Nilitafuta sehemu tulivu..tofauti na Nyumbani kwngu...akaja nikaonana nae...
Mambo aliyonieleza..
1.Anaomba msamaha kwa aliyofanya.. alitumia jaziba kuondoka,,,hakutaka kujishusha
2.Amegundua umuhimu wangu baada ya kuwa Mbali namimi
3.Anataka mtoto apate malezi ya Baba na Mama
4.pia ameona hata nikisema simtaki tena tuachane,,,akaenda kuolewa kwingine ,Hataki kuwa na matabaka ya watoto,,kila mtoto na Baba yake,,,Anaona sio nzuri kwenye familia,,
5.yuko tiyari kwenda kwa wazazi,, wote wa pande mbili,,, kuwaomba msamaha kwa mambo yote...na maamuzi aliyofanya hapo mwanzo...

Baada ya kusema hayo... ameniambia anarudi huko anapofanyia kazi ,,akamilishe vilivyobaki ,,,alipwe na posho yake ya Mwisho... aachane na kazi hiyo ,,,aende kwa Wazazi wangu...baadae na Wazazi wake...kuwaomba msamaha,,,Yuko Tiyari kurudi kwenye familia yake kulea mtoto wake...Muda aliyokuwa Mbali na familia Amegundua umuhimu wangu na ameahidi hatorudia..

Ndugu zangu...mnanipa ushauri Gani...
Msamehe
 
Huyu anachekechwa hatarii na Huyo mwanamke. Kijana ana udhaifu flani na Huyo ke ameshajua pa kumbinya alegeze. Huyu hata Mimi ni ke Ila namzidi kukaza...
Amrudie tu kwakweli
 
Yeah, mwanamke ameshajua kucheza karata za jamaa. So hizi habari za yeye kwenda kuomba msamaha n.k ni settings tu mke anazifanya sababu anajua jamaa ataamini kirahisi. Next move ni mwanamke kutoomba msamaha tena sababu anajua ameshauwin moyo wa mwanaume kwa 100%.

Kama kuna kosa kubwa ambalo jamaa anaweza akalifanya na likamuondolea amani ktk ndoa yake kwa miaka ijayo, ni kukubali michezo ya huyo anayemuita mke wake while kuna wanaume wenzie wameshamchukulia mke tayari.
 
Mleta mada humu ndani hadi sasa kuna wanawake wawili wamereply ktk hii threa yako, na wote wametoa ujumbe mmoja.

Acha UFALA, tafakari saana hiki walichokisema cacutee na win-one
huyu tushamzoea, siku kadhaa za nyuma alileta nyuzi za malalamiko watu wakamshauri wakamwambia hapendwi na yeye akasema atafuata ushauri,, amekaa siku mbili tatu si akarudiana na bby mama wake, akaleta uzi mwingine watu wakatia neno yakaisha, wamekaa kidogo mwanamke akarudia yale yale na jamaa karudi huku akasema ndo mwisho hawezi kumsamehe tena, ila ona mwez mmoja tu amesharudi kusema kaombwa msamaha😅😅😅

hawa sio wa kuachana leo hebu tusimalize nguvu
 
Back
Top Bottom