Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
"Wewe ni shujaa unayepambana kila siku bila ngao. Upendo, nguvu, na ustahimilivu wako unajenga mustakabali wa watoto wako, hata pale unapohisi umechoka au haitoshi. Kumbuka kuwa kila tone la jasho lako na kila tabasamu unalolazimisha kwa ajili ya watoto wako ni ushahidi wa ukubwa wa moyo wako...
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja.
Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar. Mnamo tarehe 9/6/2026 nilisafiri na familia yangu kutoka Dar es salaam na bus la Alsaedy linalotoka...
Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI.
Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku.
Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa.
Iko Hivi...
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Pia soma ~ Wamiliki wa mabasi wapewa wiki...
Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi.
1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
Wanazengo naombeni msaada, huyo kwenye picha ndo Khadija wangu nampendaaa sana, huyu Binti ndo kila kitu kwenye maisha yangu,
Tangu ameniacha mara kadhaa nimejaribu kujfanya kila namna ili nimsahau nashindwa inauma sana,hapa TU sijaenda kazini na mchina anataka kunisimamisha kazi ,sababu ya...
Anaandika Malisa Godlisten kwenye akunti yake ya ukurasa wa Instagram "Naitwa @nisebrian naomba unisaidie kupaza sauti kuhusu mdogo wangu Jafari Saidi Kahise. Tarehe 5 June 2026 watu wanne waliojitambulisha kuwa Polisi walifika eneo la Kihonda Madukani, Morogoro, kwenye kijiwe ambacho Jafari...
Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup.
Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo
World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa...
Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna anayewajibika hata kidogo.
Kwa wakati huu ambao usafirishaji wa mizigo kati ya Dom na Dar umeongezeka...
Salaam Wakuu,
Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo.
Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania.
Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
Nashauri katika Yale majimbo yenye ushawishi mkubwa wa Upinzani, basi wabunge wa majimbo hayo waachie ngazi kwa kujiuzulu nafasi zao za ubunge uchaguzi ufanyike na upinzani ushinde.
Mfano: Jimbo la Arusha Mjini, Mbunge wa Sasa ajiuzulu halafu Uchaguzi ufanyike upya, LEMA achukue Jimbo. Basi...
Adui namba moja wa taifa hili ni ccm wote walioko huko wapo kwaajili ya maslahi yao tu na si taifa hili na raia wa nchi hii.
Wapo tayari CCM ishinde kwa damu ili tu walinde wanachoiba.
Wakuu mdogo wangu anayenifuata wa kike amemkataa mama yetu kabisa kwa madai kwamba ana maumivu makali sn juu...
Mimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au...
" I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it.
Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code.
"Uh uh uh uh uh uh uumh
Uh uh uh uh uh' u' umh
Uh uh uh uh uh uh uumh" start with my mouth
Kick- "uh"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.